Jeshi la ukraine jana limefanya shambulio baya sana kwenye mji wa luhansk na kuua wagner mercenaries 250-300
Huku akibakia mmoja tu ambae amechukua video hii huku akilia

Mnaleta propaganda km ya vifaru vilivyokuwa vinataka kuvuka mto vikapigwa vyote au jeshi la Ukraine wamewarudisha nyuma Russian mpk mpakani kwao baadae tukaoana jiwe la mpaka wameenda nalo sehemu wakarekodi videotape fanyeni propaganda wenzenu wanakufa kweli mpk jotti amekili kila siku sio chini ya 100 wanazika