Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,546
- 49,421
VIONGOZI WAPI HAO UNAOWAMBIA WAAMKE?Hii sio habari ya udaku.
Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki.
Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini.
Kama mjuavyo Wachina walivyo na akili, Mchina anajua madhaifu ya Mtanzania, kuwa ukimwekea pesa kwenye bahasha tu umemfunga kinywa mpaka mikono na miguu. Unaweza kumpa eneo la hekari 5 yeye akajimilikisha hekari 15 zenye madini.
Ukampa kibali cha kuchimba dhahabu yeye akachimba rubi n.k
Ninahisi hawa wachina wametumwa na Taifa lao , serikali huwapa pesa vikundi vikundi na kuwapigania vibali nchi mbalimbali za Afrika ili wakusanye madini.
Viongozi msilale, amkeni.
Ushauri wako ni upi gentlemenHii sio habari ya udaku.

Kama Dr slaa kasema kuna viongozi wa ulinzi na usalama hawampendi , je, ni nani alimshika huyo Slaa?Ndicho kitakacho fanya asigombee mwaka huu!
TEC wanapiga kelele sana tangu Bandari!!
Dr slaa kaweka wazi kwamba usalama na jeshi baadhi hawapo tayari kuona hayo yanaendelea kupitia clip!!
chimwaga plus kampeni zitakua ngumu mno!!
Niamini!Kama Dr slaa kasema kuna viongozi wa ulinzi na usalama hawampendi , je, ni nani alimshika huyo Slaa?
Ni kweli anafanya vibaya ila hakuna kiongozi wa chombo chochote cha ulinzi hampendi Samia.
Viongozi wenyewe akili kisoda hivyo kila kitu wanaona sawa tu