Chikwangara
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 685
- 940
Acha ungese wewe, ina maana wakati mnapanga kwenda kuiba Sinza mlikubaliana sababu Sinza kumejaa mashoga? watu wapo serious wewe unaleta kashfa na matusi? Tumia hekima kwa kuwapa pole wahanga na kuchangia nini kifanyike.sinza tatizo kumejaa mashoga shoga mengi mno
Wajanja mnaibiwaje kijinga hivyo? Sinza kw wajanja eeh.Leo imekuwa ni vilio na hamaki kwa raia wa hapa Sinza A, baada ya kuamka asubuhi na kukuta madirisha yao yametobolewa na kukatwa kwa nyavu.
Inasemekana, walipuliza dawa ya usingizi ndipo wakafanya unyama huo. Watu wameibiwa pesa, laptops, simu, vitu vya ndani kibao.
Hapo unapoishi, kuna wizi wowote umefanyika?
Anayejua jinsi ya kujikinga na hiyo sawa, atupe elimu hapa.
Poleni wahanga wote wa wizi huo.
Nawasilisha!
Hahahahaha we jamaacha muhimi ni marinda tu jamani yabaki salama