Midazolam
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 807
- 1,349
Wakuu habarini za asubuhi.
Katika biashara uaminifu ni kitu kikubwa sana kwenye biashara bila uaminifu hata wateja watakukimbia.
Watanzania hasa wafanyabiashara wa kariakoo hasa hawa wanauza simu wengi ni matepeli na wezi kibao, kuna hawa wanaotengeneza simu na kuuza simu wengi ni wezi na matepeli.
Biashara ya simu inalipa sana na mtu anatumia gharama kubwa kununua simu nzuri akiamini hapa nimepata simu kumbe wizi na utapeli mtupu.
Wafanyabiashara wa Kariakoo mbadilike tutafikishana pabaya maana tukiwapeleka Polisi huko nako ni danadana ,sasa endeleeni kutuibia na mtambue kuna njia nyingine tunaweza kutumia na hata hiyo biashara usikitamani tena na mwisho ikawa vibaya kwako.
Wanaumizwa ni Watanzania, na sisi sote ni Watanzania.
Kuanzia leo nawashauri wanunuzi wa simu ya kutumia kwa matumizi yako binafsi kanunue simu kwa Wahindi au nenda Mlimani City hawa Wabongo ni wapumbavu tu.
Nimemaliza.