TRA wanajidai wanatekeleza sgeria. Sasa watajua kuwa sheria si msahafu.Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi.
Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.
Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?
Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?
Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?
SHAME ON US .....
PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
Hata hapo uganda chukuwa risiti au isichukue hawakaguwi wao wanakaguwa pale mzigo unaingia dukani au store tuJinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna li ni sheria zetu kandamizi za Kodi.
Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.
Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?
Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?
Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?
SHAME ON US .....
PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
Sheria bila hekima na customer service ni bure,wanatanguliza rushwa iliyofichwa kwenye sheria na mfumo mbaya. Bado maadili ni tatizo siyo sheria kama inavyotajwa.TRA wanajidai wanatekeleza sgeria. Sasa watajua kuwa sheria si msahafu.
Mabalozi nao walilalamika sana juu ya wawekezaji toka nchi zao.
Tetesi: - Balozi za nchi zenye uwekezaji mkubwa nchini zatishia kusimamisha miradi, inadaiwa TRA inawabambikia kodi kubwa zisizolipika
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao. Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na...www.jamiiforums.com
Canada pia Wana mfumo mzuri wa kodi wananchi wanafurahia kulipa Kodi kwasababu mfumo unarudisha pia kwa mtu mmojammojaJinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi.
Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.
Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?
Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?
Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?
SHAME ON US .....
PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
Rushwa imezidi TRA kwa kisingizio cha sheria. Kukosa risiti ya EFD fine ya 15 million, hakuna mjinga asiyejua huo ni mtaji wa rushwa.Kidata kafanywa kuwa mbuzi wa kafara tu.
Nilitegemea Waziri wa viwanda na RC wangeondolewa, tuna system ya ajabu snJinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi.
Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.
Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?
Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?
Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?
SHAME ON US .....
PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
Hapa tunalipa kodi wanaenda kulipana posho na kuiba mali za ummaCanada pia Wana mfumo mzuri wa kodi wananchi wanafurahia kulipa Kodi kwasababu mfumo unarudisha pia kwa mtu mmojammoja
Fine ingekuwa hata laki 5Rushwa imezidi TRA kwa kisingizio cha sheria. Kukosa risiti ya EFD fine ya 15 million, hakuna mjinga asiyejua huo ni mtaji wa rushwa.