menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 672
Kausha basi Mkuu!Kwahiyo unataka views kwenye account yako ya youtube?
Kwahiyo unataka views kwenye account yako ya youtube?
Nikawaida kwa siku za sikukuu hasa za eid huwa watu wanakuwa wengi sana mie nilipita na nilitaka kwenda maeneo ya ufundi kilwa road ila barabara ilivyokuwa imejaa watu nikabadilisha mwelekeo maana kero yake si ndogo.
Lipia tangazo mkuu
Kwahiyo unataka kusema IDD itaifunika pasaka???[emoji848][emoji125][emoji125][emoji125]Wakuu kwema?
Leo nimepita kkoo kufanya manunuzi ya sikukuu! Aiseee kwanza kkoo imebadilika sana kwa Maana ya maghorofa mapya kila kona, nimeambiwa wakinga ndiyo wanaonunua nyumba Na kuporomosha maghorofa lakini pia nyomi iliyokuwepo kule ni balaa! Hapapitiki aisee. Kila kitu kinauzwa kule yaani hakuna unachoweza kukosa kkoo ila tatizo ni hiyo nyomi. Kila mtaa uko busy balaa. Nashauri angalia Kwa hii clip yangu hapo chini then ndo uamue kama unaenda kkoo au utasubiri kwanza hadi sikukuu zipite. Nawasilisha.
Nikawaida kwa siku za sikukuu hasa za eid huwa watu wanakuwa wengi sana mie nilipita na nilitaka kwenda maeneo ya ufundi kilwa road ila barabara ilivyokuwa imejaa watu nikabadilisha mwelekeo maana kero yake si ndogo.
Mambo NumbisaDuh aiseee
Mambo Numbisa
kumbe na wewe una smartphone
Yes juzi kunakibaka alikimbizwa kaja kujigonga miguuni kwangu na hapo ndio chanzo cha kukamatwa sema ilikuwa jirani na kituo cha pilisi msimbazi.Na vibaka wana take advantage humohumo
Hilo soko si liliungua?!Wakuu kwema?
Leo nimepita kkoo kufanya manunuzi ya sikukuu! Aiseee kwanza kkoo imebadilika sana kwa Maana ya maghorofa mapya kila kona, nimeambiwa wakinga ndiyo wanaonunua nyumba Na kuporomosha maghorofa lakini pia nyomi iliyokuwepo kule ni balaa! Hapapitiki aisee. Kila kitu kinauzwa kule yaani hakuna unachoweza kukosa kkoo ila tatizo ni hiyo nyomi. Kila mtaa uko busy balaa. Nashauri angalia Kwa hii clip yangu hapo chini then ndo uamue kama unaenda kkoo au utasubiri kwanza hadi sikukuu zipite. Nawasilisha.
Mzee baba naona umeamua kutafuta Views kitaalamu[emoji1]Wakuu kwema?