Kariakoo maduka yanawaka moto

Kariakoo maduka yanawaka moto

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,493
Reaction score
2,366
FB_IMG_1453269302401.jpg
FB_IMG_1453269302401.jpg
FB_IMG_1453269669161.jpg


Kuna habari zimezagaa mitandaoni kuwa Kariakoo kuna maduka yanawaka moto.

Wadau mlioko huko tupeni update.
 
Hii siku ya leo naona imefurika majanga ya moto, Zanzibar nasikia moto umeteketeza hoteli, Kariakoo nako unaleta habari ya maduka kuwaka moto? Mungu atuepushe na pole kwa waathirika. Zimamoto wamefika na kufanya kazi yao?
 
Kwani moto wa hivo ukitokeaga kwenye soko/maduka kama hayo hamjui ni njia zipi zinazotumika? Mna umri gani?
 
Kama ilivyotokea karume na kuunguza vibanda vyote mwaka jana nadhani. Hatari
 
Huku nako tumekurupushwa asubuhi hii na kuporomoka kwa kipande cha hostel yetu,
Cku ya majanga hiii
 
Back
Top Bottom