zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,220
Nilikuwa Maeneo ya mitaa ya kongo,gafla wakafika askari kuwaondoa wafanya biashara ndogo ndogo,kwa kupiga mabomu ya machozi....
chanzo hasa ni nini
mkichagua serikali tatu jeshi linachukua nchi
Nilikuwa Maeneo ya mitaa ya kongo,gafla wakafika askari kuwaondoa wafanya biashara ndogo ndogo,kwa kupiga mabomu ya machozi....
Kwa sasa tanzania matumizi ya silaha na uovu ni kitu cha kawaida sana, ndio maana born here here huwaga hatuogopi hivyo vitu
mkichagua serikali tatu jeshi linachukua nchi
Jamaa alipoandika tu kuhusu jeshi, amepigwa ban!I agree with u mkuu
Na mi naomba jeshi lichukue nchi tuheshimiane