KERO Kariakoo ina miundombinu mibovu hasa barabara na mifumo wa majitaka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,160
Reaction score
11,228
Wakuu najiuliza kwanini mamlaka haziweki miundombinu vizuri Karikoo yote, baadhi ya mitaa miundombinu imechakaa kana kwamba pale si kitu cha Biashara nchini na nchi jirani.

Barabara nyingi mbovu kupindukia, wakati wa mvua hapatamaniki zinajaa madimbwi, matope mpaka kero.

Miundombinu ya maji taka ndio hatari zaidi, ni kawaida majitaka yanayonuka kinyesi kutiririka mtaani huku wafanyabiashara wakiendelea na shughuli zao. Kuna siku nilipita mitaa ya kuitafuta Jangwani, nilikutana na kifusi robo tani cha mavi, sijui yalikuwa yana muda gani pale, ila mamlaka zingeweza kuchukua hatua haraka iwezekanavyo.

Mamlaka ziiangalie Kariakoo kwa jicho pevu la biashara ili kuweka mambo sawa

View attachment 3411973

Ni aibu kubwa sana, soko kubwa kama hilo kuwa na miundombinu duni.

Hakuna hatua za maana zitachukuliwa mpaka labda utokee mlipuko wa kipindupindu ndipo waunde kamati za upigaji tu.

Kuna taasisi nyingi za serikali zinazohusika kuibua au kuzishughulikia matatizo kama hayo lakini hawafanyi chochote zaidi ya kupambana na wakosoaji au hata wanaoibua uchafu kama huu kwa kuwateka, kutesa, kuuawa au kupotezwa.
 
Wakuu najiuliza kwanini mamlaka haziweki miundombinu vizuri Karikoo yote, baadhi ya mitaa miundombinu imechakaa kana kwamba pale si kitu cha Biashara nchini na nchi jirani.

Barabara nyingi mbovu kupindukia, wakati wa mvua hapatamaniki zinajaa madimbwi, matope mpaka kero.

Miundombinu ya maji taka ndio hatari zaidi, ni kawaida majitaka yanayonuka kinyesi kutiririka mtaani huku wafanyabiashara wakiendelea na shughuli zao. Kuna siku nilipita mitaa ya kuitafuta Jangwani, nilikutana na kifusi robo tani cha mavi, sijui yalikuwa yana muda gani pale, ila mamlaka zingeweza kuchukua hatua haraka iwezekanavyo.

Mamlaka ziiangalie Kariakoo kwa jicho pevu la biashara ili kuweka mambo sawa

View attachment 3411973
Video ya lini hii mkuu
 
Back
Top Bottom