Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,935
- 1,006
Kwanini Hoja ya Kardinali Pengo hawataki kuizingatia?
Si mara ya kwanza au ya pli kwa Mwadhama Kardinali Polycrap Pengo kutoa kauli zenye kuonya kwamba huko tunakokwenda kwa viashiria hivi si kuzuri. Lakini anaposema sasa, wako wasahaulifu wanasema Kardinali Pengo ni mchochezi.
Agosti 27 2006, akiwa anahubiri katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Ana liliko Kinondoni-Hananasif alisema wakati wowote inapotokea kwa watu wa Taifa moja kuanza kutukanana, kukashifiana na kutoleana maneno ya kebehi kwa sababu za kidini, hiyo ni ishara mbaya kwa Taifa lolote lile. Akaendelea kwa kuuliza Hivi haya matusi ninayosikia au mnayoyasikia ninyi wenzagu vyombo vya dola haviyasikii? Uhuru wa kuabudu si uko kwa mujibu wa Katiba ya nchi? Mbona watu wanavunja Katiba na kuachwa tu? Akaendelea kusema Mimi nasema, kama walinda usalama hawayasikii haya ambayo wengine tunayasikia, tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu ili waweze kusikia. Kama wanasikia na kupuuzia tu, basi tumwachie Mungu pia.
Chanzo: Mtanzania Toleoa. 3764 Jumatatu, Agosti 28, 2006 lenye kichwa Pengo avishukia vyombo vya Dola -Ni kuhusu mihadhara , ashangazwa na ukimya wao, -ataka viombewe, alaani mihadhara ya matusi.
Hivi ni kweli toka 2006 hadi sasa vyombo vya usalama hawajasikia? Hivi ni kweli hawajaona? Kama hawajao na ni kitu gani kulichowafanya Polisi wa Mbeya kwenda kumkamata pale Iyunga kanisani Mwinjilisti aliyekuwa anawaonyesha waumini wenzake kanda ya mahubiri ya kichochezi ya Shekh Ilunga Kapungu na kumbabikia kesi ya kuwa yeye ndiye mchochezi? Hivi zile CD na DVD zinazoonyeshwa na kuuzwa waziwazi nyakati za jioni katika njia panda na mitaa hawazioni? Hivi yanayoandikwa na magazeti ya Kisiwa, Al-Hudda na Al-nuur huwa hawayasomi? Hivi kambi zinazotajwa za mafunzo ya ugaidi kuwepo Tanzania toka 2003 nalo hawalioni ama hawajasikia?
Nakumbuka Septemba 2003, Gazeti la Msemakweli liliwahi kuandika Saudi Arabia yamwaga mamilioni ya Dola kufundisha ugaidi nc hini, ambapo k atika maelezo yake walitaja wazi kuwa mafunzo hayo hutolewa katika misikiti 30 kati ya 487 iliyopo Dar es salaam. Ilielezwa kuwa mafunzo hayo ya kigaidi huitwa WAHHABISM na ndiyo yaliyomkuza Osama bin Laden. Humu humu JF iliwahi kutolewa tahadhari mwaka 2008 juu ya ule msikiti wa Kiwalani (wenye uzio) juu ya mafunzo yake na aina ya wageni wanaoingia na kutoka pale makundi kwa makundi.