Kardinali Pengo alionya toka 2006

Kardinali Pengo alionya toka 2006

wee nikichaa nn mbona walimu wa madrasa wanavyowafunza watoto mafunzo ya kigaid..?

Mnajua lakini mafunzo ya kigaidi yakoje?. Ingekuwa hayo ndiyo chanzo cha ugaidi Mbona tanzania yameanza siku nyingi kabla hata ya uhuru. Mikoa yote ya pwani na huko Zanziba si wamejaa waislamu tangu enzi na enzi? ni lini tulisikia hao wanaofunzwa misikitini wanaleta machafuko kama sio yameanza kuwemwa hapa miaka ya 2000 baada ya mafisadi kuanza kutumia ufa huo kuwagawa watanzania?. Suala la udini linasemwa sana Nchini lakini binafsi naona ni uongozi wa serikali kuwa dhaifu na kutumia mbinu hizo kuendelea kukaa madarakani.

Kama hizo kanda zipo Tangu siku nyingi wakati anaongea Pengo 2006, Lakini kwa wale walioanza kufuatilia haya mambo muda watakubaliana nami kuwa Tanzania hakuna kipindi ambacho kilikithiri kwa mihazara ya dini ya Kiislamu na kikristo kama miaka ya 1990 mpaka 1997. Ni kipindi ambacho kama kweli misemo ya majukwani kwa viongozi wetu wa dini ingekuwa ndio chanzo cha vurugu zisingeanza leo.

Kuna mdudu bihind this, Hakuna siri ya milele ipo siku mdudu huyo atakuwa wazi tu.
 
Chungu kumeza, tamu kutema...PENGO na jopo lake la viongozi wa catholic ndo wadini wa kwanza na MUNGU MKUBWA leo hii anawaumbua....Nani asie kumbuka 2006 jinsi walivyotuaminisha waumini na watanzania kwa ujumla kua KIKWETE ni chaguo la MUNGU na mie km KONDOO au muunini siwezi kumginga kiongozi wangu wa kiroho kwa kufanya hivyo ntakua na chaguo la SHETANI na mie ni muumini...Nchi hii ina demokrasia na kwa wakati huo vilikuepo pia vyama vingiene na vilikua na wagombea wao na wamadhehebu tofauti lakini KANISA likasigina sheria na kuuaminisha umma wa kiTanzania kua JK ni chaguo la MUNGU na kwakweli kwa nguvu ya mtandao wa PENGO na wenzake JK alipata 82% lakini wataalam wa mambo walijua kwanini KANISA liliamua kusigina katiba na kumpigia chapuo JK? kuna majibu lukuki lakini moja AMINI USIAMINI kikwete alikataa ukibaraka wa genge la VATIKANI na tukaona 2010 KANISA LILIMGEUKA lakini JK alishinda kwa nguvu ya JESHI...Nini maana yangu haya tunayoyaona LEO hii ni uasisi wa PENGO na GENGE lake la VATIKANI....
 
pengo ni gaid namba moja akamatwe

Mkuu kwanini umesema hivyo? Hebu tusaidie kama kuna mtu yeyote aliyemtaja kiongozi yeyote wa kiislamu kuwa ni gaidi.
Utaifa wetu uko wapi?
Tunachoamini ni kwamba ccm wamejitahidi sana kuwagawa watu kwa dini zao. Na bila kujua tukaingia kwenye mtego wa ccm ili waendelee kututawala kwa maslahi yao
 
Kwa upande wangu nilishindwa kuelewa kama watu wanaweza kupiga dua ya kumuombea Rais afe wakaachwa na rais akaishia kulalamika tu!Walitakiwa kuulizwa kosa lake ni lipi?

Sina uhakika kama watu wanaweza kuamua kanisani wamuombee kiongozi fulani apate matatizo na wakaachwa.
 
Chungu kumeza, tamu kutema...PENGO na jopo lake la viongozi wa catholic ndo wadini wa kwanza na MUNGU MKUBWA leo hii anawaumbua....Nani asie kumbuka 2006 jinsi walivyotuaminisha waumini na watanzania kwa ujumla kua KIKWETE ni chaguo la MUNGU na mie km KONDOO au muunini siwezi kumginga kiongozi wangu wa kiroho kwa kufanya hivyo ntakua na chaguo la SHETANI na mie ni muumini...Nchi hii ina demokrasia na kwa wakati huo vilikuepo pia vyama vingiene na vilikua na wagombea wao na wamadhehebu tofauti lakini KANISA likasigina sheria na kuuaminisha umma wa kiTanzania kua JK ni chaguo la MUNGU na kwakweli kwa nguvu ya mtandao wa PENGO na wenzake JK alipata 82% lakini wataalam wa mambo walijua kwanini KANISA liliamua kusigina katiba na kumpigia chapuo JK? kuna majibu lukuki lakini moja AMINI USIAMINI kikwete alikataa ukibaraka wa genge la VATIKANI na tukaona 2010 KANISA LILIMGEUKA lakini JK alishinda kwa nguvu ya JESHI...Nini maana yangu haya tunayoyaona LEO hii ni uasisi wa PENGO na GENGE lake la VATIKANI....

Nadhani akili yako ni mgando! Kauli ya Kilaini haiwezekani ikawa ni ya Pengo au Kanisa Kama vile kauli yako haiwezekani ni kauli ya JF, hata Kama ingekuwa mkubwa wa JF.

ukweli utabaki, serikali yetu sikivu haijawahi kutaka kusikia kinachosemwa misikitini! Pale Mwenge misikitini, Kila Leo wanakashifu dini na serikali, hawakemewi hata Mara moja. Vijana na watoto watakuwa wakiaminishwa wasio waislamu, tena waislamu wa dye hebu Fulani sio watu,yawapasa kufa! Kama Pengo aliona hili 2006, walau Kikwete angeanzia pale Mwenge asikilize achukue hatua Kabla hawajalipua makanisa na majukwaa ya serikali na wakristo!
 
Tatizo lako unakimbia kivuli chako na utakua na brain syndrome sio bure...Askofu KILAINI alikua ni msemaji wa kanisa so aliyokua anayasema yote yalikua na baraka zote toka kwa kadinali PENGO...Kama PENGO aliona KILAINI anakosea na anakua mnafiki kwanini aliendelea kua kimya??? try to broaden your mind...leo hii nchi yetu ingekua na sheria hasa PENGO na genge lake wangeliozea jera kwa ujinga wao wa kuasisi udini awamu hii sasa mission yao imefeli wanaanza kukimbia aibu yao ya 2006 historia haitafutika kua PENGO na genge lake ndo waasisi wa udini na athari zake wameanza kuziona nadhani watatuma bullet proof zakutosha
 
Mkuu Binary No, si kwamba unachoongea kina usahihi, la. Hakina usahihi wowote, lakini kwasababu umeamua kulazimisha iwe kama unavyotaka/kuamini wewe ama ninyi basi wajuzi wa mambo wamekuacha hivyo hivyo. Laiti ungechukua muda wa kutafuta na kusoma thread za siku za nyuma kuhusu kuhamishwa kwa Askofu Kilaini na yaliyojiri ungejifunza mengi. Ila ninakuonea huruma tu.

Wako ambao watachagua kutokukuacha, watakujibu sawasawa na uelewa wako.
 
Tatizo lako unakimbia kivuli chako na utakua na brain syndrome sio bure...Askofu KILAINI alikua ni msemaji wa kanisa so aliyokua anayasema yote yalikua na baraka zote toka kwa kadinali PENGO...Kama PENGO aliona KILAINI anakosea na anakua mnafiki kwanini aliendelea kua kimya??? try to broaden your mind...leo hii nchi yetu ingekua na sheria hasa PENGO na genge lake wangeliozea jera kwa ujinga wao wa kuasisi udini awamu hii sasa mission yao imefeli wanaanza kukimbia aibu yao ya 2006 historia haitafutika kua PENGO na genge lake ndo waasisi wa udini na athari zake wameanza kuziona nadhani watatuma bullet proof zakutosha

Mkuu, possibly hujui misingi ya kanisa, na haujui Roman Catholic inavyofanya kazi na usitarajie Kardinal Pengo kufanya maamuzi kwa maelekezo yako. Je wajua kilicho mtoa Askof Kilain Dar es Salaam na kwenda kutulizwa Bukoba au una andika kwa vile tu unajua kusoma na kutumia key-board ?
 
Wahhabism and Wahhabi
Islam: How Wahhabi Islam
Differs from Sunni, Shia
Islam
Critics of Islam & Islamic Extremism
Must Understand Wahhabi
Extremist Beliefs
By Austin Cline, About.com Guide
Too many critics of Islam, including
atheists, fail to appreciate just how
diverse and varied Islam can be.
There are things you can say that
apply to all or most Muslims, as is the
case with Christianity, but there are
many more things which only apply to
some or a few Muslims. This is
especially true when it comes to
Muslim extremism because Wahhabi
Islam, the primary religious
movement behind extremist Islam,
includes beliefs and doctrines not
found elsewhere.
It would be a mistake and unethical to
criticize all of Islam on the basis of
doctrines particular to Wahhabi
Muslims. Modern Islamic extremism
and terrorism simply cannot be
explained or understood without
looking at the history and influence of
Wahhabi Islam. This means that it's
important from an ethical and an
academic perspective to understand
what Wahhabi Islam teaches, what's
so dangerous about it, and why those
teachings differ from other branches
of Islam.
Origins of Wahhabi Islam
Name: Wahhabism, Wahhabi Islam
Founder: Muhammad ibn Abd al-
Wahhab
Muhammad ibn Abd al-Wahhab (d.
1792) was the first modern Islamic
fundamentalist and extremists.
Wahhab made the central point of his
reform movement the principle that
absolutely every idea added to Islam
after the third century of the Mulsim
era (about 950 CE) was false and
should be eliminated. Muslims, in
order to be true Muslims, must
adhere solely and strictly to the
original beliefs set forth by
Muhammad.
The reason for this extremist stance,
and the focus of Wahhab's reform
efforts, was a number of popular
practices which he believed
represented a regression to pre-
Islamic polytheism. These included
praying to saints, making pilgrimages
to tombs and special mosques,
venerating trees, caves, and stones,
and using votive and sacrificial
offerings.
These are all practices commonly and
traditionally associated with religions,
but they were unacceptable to
Wahhab. Contemporary secular
behaviors are even more anathema to
Wahhab's successors. It is against
modernity, secularism, and the
Enlightenment which current
Wahhabists do battle — and it is this
anti-secularism, anti-modernism
which helps drive their extremism,
even to the point of violence.
Wahhabi Doctrines
In contrast to popular superstitions,
Wahhab emphasized the unity of God
( tawhid ). This focus on absolute
monotheism lead to him and his
followers being referred to as
muwahiddun , or “unitarians.”
Everything else he denounced as
heretical innovation, or bida . Wahhab
was further dismayed at the
widespread laxity in adhering to
traditional Islamic laws: questionable
practices like the ones above were
allowed to continue, whereas the
religious devotions which Islam did
require were being ignored
This created indifference to the plight
of widows and orphans, adultery, lack
of attention to obligatory prayers, and
failure to allocate shares of inheritance
fairly to women. Wahhab
characterized all this as being typical
of jahiliyya , an important term in
Islam which refers to the barbarism
and state of ignorance which existed
prior to the coming of Islam. Wahhab
thus identified himself with the
Prophet Muhammad and at the same
time connected his society with what
Muhammad worked to overthrow.
Because so many Muslims lived (so he
claimed) in jahiliyya, al-Wahhab
accused them of not being true
Muslims after all. Only those who
followed the strict teachings of al-
Wahhab were truly Muslims because
only they still followed the path laid
out by Allah. Accusing someone of
not being a true Muslim is significant
because it is forbidden for one
Muslim to kill another; but if someone
is not a true Muslim then killing them
(in war or in an act of terrorism)
becomes licit. It would be hard to
underestimate the importance of this
principle to modern terrorists and
extremists.
Obviously, Wahhabi religious leaders
reject any reinterpretation of the
Qur’an when it comes to issues settled
by the earliest Muslims. Wahhabists
thus oppose the 19th and 20th
century Muslim reform movements
which reinterpreted aspects of Islamic
law in order to bring it closer to
standards set by the West, particularly
with regards to topics like gender
relations, family law, personal
autonomy, and participatory
democracy.
Wahhabi Islam & Extremist Islam
Today
Today, Wahhabism is the dominant
Islamic tradition on the Arabian
peninsula, though its influence is
minor in the rest of the Middle East.
Because Osama bin Laden comes
from Saudi Arabia and is Wahhabi
himself, Wahhabi extremism and
radical ideas of purity have obviously
influenced him considerably.
Adherents of Wahhabi Islam do not
regard it as simply one school of
thought out of many; rather it is the
only path of true Islam — nothing
else counts.
Even though Wahhabism is a minority
position overall in the Muslim world, it
has nevertheless been influential for
other extremist movements
throughout the Middle East. This can
be seen with a couple of factors, first
of which is al-Wahhab’s use of the
term jahiliyya to vilify a society which
he does not consider pure enough,
whether they call themselves Muslim
or not. Even today, Islamists use the
term when referring to the West and
at times even to their own societies.
With it, they can justify overthrowing
what many might regard as an Islamic
state by essentially denying that it is
truly Islamic at all.
 
Back
Top Bottom