BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Kuna yoyote mwenye data za matokeo huko Karatu?
Au bado wanaendelea kuhesabu???:thinking:
Au bado wanaendelea kuhesabu???:thinking:
Nilishatoa matokeo ambayo bado hayajatangazwa rasmi soma post zilizopita, Chadema inaongoza.
Kuna yoyote mwenye data za matokeo huko Karatu?
Au bado wanaendelea kuhesabu???:thinking:
Beli CHADEMA wamechukua tena Jimbo na Halmashauri ya Karatu