mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 818
- 1,545
Bado nafatilia kunako vijiwe vya kahawaaOngeza nyama mkuu,
Tetesi ikoje?
Duru za habari mitaani zinatwambia nini??
Mishe za paroko je,
Nyuma ya pazia jamaa anakasumba gani??
Ukiamua kutu-update tafadhali usituache hewani.
Padri ndie chanzo cha vifo vyote. Katoliki hawana maombi ya usiku wa saa hizo. Kufungua kwake mlango usiku ndio matokeo ya vifo.Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical.
Wananchi wenye hasira nao wamemuua Mtuhumiwa
----
Padri Pamphilius Nada wa Parokia ya Karatu amevamiwa na kuuwa na mtu ambaye anayedhaniwa kuwa hana akili timamu usiku wa kuamkia leo tarehe 19.7. 2023.
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amina.
KAMANDA WA POLISI ARUSHA ATHIBITISHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema “Mtuhumiwa aliyemshambulia Padri kwa nyundo inadaiwa alikuwa na changamoto ya afya ya akili, naye alifariki baada ya kushambuliwa na Wananchi wenye hasira kali eneo la tukio.”
Kwa kusoma maandishi yako tuu, wewe ni wale waliokaririshwa maandishi yanayotoka nyumaKuna kitu chini ya kapeti...
Hiki kifo hiki!!!yani ilimradi tu ipatikane sababu ili uondoke...Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical.
Wananchi wenye hasira nao wamemuua Mtuhumiwa
----
Padri Pamphilius Nada wa Parokia ya Karatu amevamiwa na kuuwa na mtu ambaye anayedhaniwa kuwa hana akili timamu usiku wa kuamkia leo tarehe 19.7. 2023.
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amina.
KAMANDA WA POLISI ARUSHA ATHIBITISHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema “Mtuhumiwa aliyemshambulia Padri kwa nyundo inadaiwa alikuwa na changamoto ya afya ya akili, naye alifariki baada ya kushambuliwa na Wananchi wenye hasira kali eneo la tukio.”
Paroko alikuwa na shida gani?
Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda kufia Fame Medical.