Karatsi halisi za kura zimewasili

Karatsi halisi za kura zimewasili

Jatropha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2009
Posts
1,151
Reaction score
200
kwa mujibu kipindi cha jahazi cha clouds radio karatasi halisi za kura zimewasili leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa dar es salaam na kubebwa katika malori 6 ya truck and trailer kupelekwa kuhifadhiwa.
 
Back
Top Bottom