hivi ss watanzanzia 2nataka kusema kweli michezo 2naijua lakin karate hatuijui. Maana juzi 2 kulikua na mashindano ya karate kwa vyuo vikuu kutoka nchi tofauti na yamefanyika mliman lakn hakuna hata mwanafunzi mmoja kutoka Tz. Inashangaza sana. Nyinyi mnaonaje wana JF

Tatizo gvt yetu ina bagua michezo.
Wapo walimu wa karate mitaani
ni wazuri sana wamekosa kampani tu.
Hivyo wahisani wajitokeze na kudhamini michezo yote.
hivi ss watanzanzia 2nataka kusema kweli michezo 2naijua lakin karate hatuijui. Maana juzi 2 kulikua na mashindano ya karate kwa vyuo vikuu kutoka nchi tofauti na yamefanyika mliman lakn hakuna hata mwanafunzi mmoja kutoka Tz. Inashangaza sana. Nyinyi mnaonaje wana JF
Sidhani kama system ya elimu ya vyuo vikuu vya tanzania inaweza kumpa muda mwanafunzi wa kushiriki kwenye michezo. Wanafunzi wanawekwa bize mno, yaani mchakamchaka wa nguvu huna muda wa kupumua. Na akitokea genius akajihusisha na michezo au hata kufundisha tuition mtaani, maprofesa wakijua lazima wamuhujumu ili a-disco au a-supp.
ukienda mliman ni kuna viwanja vya kila aina na wachezaji kibao. Kazi ipo ingia humo wanapoita dojo wote ni makarateka kutoka nje ya chuo.kiukweli tanzania bado 2po nyuma kwenye fan ya karate
hivi ss watanzanzia 2nataka kusema kweli michezo 2naijua lakin karate hatuijui. Maana juzi 2 kulikua na mashindano ya karate kwa vyuo vikuu kutoka nchi tofauti na yamefanyika mliman lakn hakuna hata mwanafunzi mmoja kutoka Tz. Inashangaza sana. Nyinyi mnaonaje wana JF
tatizo bongo urasimu umezidi,ni kweli kuna karateka kibao vyuoni mf huku kwetu saut ila hata info hatujapata afu utasikia ni mashindano ya vyuo,hapo ndo nashindwa kuelewa hivi tz chuo ni udsm