Karata za Zitto zimebuma!

Karata za Zitto zimebuma!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
ZITTO alikuwa na karata kadhaa ambazo zingemuwezesha kusimama na kusumbua nchini lakini zote zimeenda off timing!

1- Karata ya udini yaani uislamu.hii karata imebuma kwa kuwa kuna UKAWA ambao umejumuisha waislamu na wakristu.

2-Karata ya ujiana nayo imebuma kwa kuwa ccm ina watia nia vijana na vikongwe.vijana kama kina makamba na mwigulu wameonesha uzaifu wa kutisha.

3-Karata ya usomi..hapa napo anagonga mwamba kwani chadema ina wasomi wa kufa mtu!

4-karata ya jinsia ...hapa zitto akaamua kumuweka mwanamke kama mwenyekiti wa ACT lakini bado watanzania hawajakubali kuongozwa na mwanamke hata Tibaijuka kachinjiwa baharini.

5-karata ya ufisadi...hapa zitto kakutana na lowassa ambaye anajitahidi kuiondoa turufu hii kama kigezo huku Dr slaa akisimama kama icon ya kuupinga ufisadi.

6-karata ya ukanda...hii nayo imegoma kwani lowassa ni kanda ya kaskazini na zitto hataki kuwaudhi wanaccm wa kanda ya kaskazini.

7-Zitto alitaka kuondoka chadema na kundi kubwa la wanachama na viongozi ...hili nalo likagoma.

8-Karata ya escrow...sifa zimeenda kwa tumbili halafu zitto alichemsha sana alipotaka kukubali mapendekezo ya adhabu yaliyotolewa na mtuhumiwa ...nyoka mwenye makengeza....Ati zitto alikiri uchovu!!!

9-Karata ya mabilioni ya uswiz alitumika kuuzima mjadala badala ya kututajia majina.
 
Mods hii mada inajitegemea kama ile ya Pasco
 
Last edited by a moderator:
Mods mada hii inajitegemea kama ile ya Pasco
 
Last edited by a moderator:
Mod mim nashangaa sana kwanin thread za kipumbavu Kama hizi mnaziruhusu zinaendelea
 
zitto amekosea sana kuondoka CDM kwani alikuwa anakwena mbali sana kisiasa sasa ataishia uenyekiti wa ACT tu
 
Meningitis, unless Zitto alikwambia kwamba hizo ndio ''karata" zake, otherwise hayo ni mawazo yako tu na huenda Zitto hakuwa amewaza hayo wakati anaondoka/anatimuliwa Chadema.
 
Dah huyu mtoa mada ana ki iq km cha kuku wa mayai
 
Huyu Zitto atawatembeza paku wazee wa Ufipa street. Mwamtaka mwajifanya hamumtaki, poleni sana--mwenzenu ameshawwaga amewaambia hana muda na nyie tena. Fanyeni yenu naye afanye yake. Sasa kama amebuma sio ndiyo nyie mfurahie unalialia nini tena hapa?
 
Nimejaribu kutafuta matawi ya ACT hapa Mwanza na Musoma baada ya mkutano MKUBWA sijaona hata Bendera, sijui wanatembea nayo kila mkoa!!??
Au ndio yale yale ya KIJANI??
 
Nimejaribu kutafuta matawi ya ACT hapa Mwanza na Musoma baada ya mkutano MKUBWA sijaona hata Bendera, sijui wanatembea nayo kila mkoa!!??
Au ndio yale yale ya KIJANI??

Pita karibu na misikiti mkuu
 
Back
Top Bottom