KARANGA -- Kuharisha!!.

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Kila ninapokula karanga siku inayofuata huwa naharisha sana mpaka kiuno kinauma, ni kawaida!!.
 
bora wewe umepata tiba ya kutoa sumu mwilini kila baada ya miezi mitatu unatakiwa kufyashi uchafu/sumu mwilini magonjwa madogodogo yatakupitia mbali
 
Usipende kula mara kwa mara utamaliza maji mwilini
fanya hivyo mara 1 kwa wiki au mwez uwe unatoa uchafu mwilini
kuna wengine wanapendea tumbo kama hilo coz wao wakienda toi ni kama mbuz
 
Mie inanitokezea ikiwa nakula karanga mbichi bila kuziosha. Kama na ww ni hivyo hivyo nakushauri uzioshe kabla hujazila
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom