Karamagi na Dowans - The Forgotten One

Dowans ni mrithi wa Richmond. Karithi yote uliyoyaeleza kuhusu Richmond.

Karithi? Unajuwa maana ya kurithi na unazijuwa sheria za mirathi au una kurupuka tu?

Bado hujajibu ni nini kosa la Dowans, wacha kubabaika.
 
Unanikumbusha mtu mmoja anaitwa Mtweve
 
I know I know.. u have not even considered how does Karamagi fits in the whole picture. Well, he does. As a matter of fact he fits in like a wedding ring to a bride! think about it.
from fundi umeme saruji wazo to minister mpaka nchi inaangamia...he will pay for this soon...
 
Karithi? Unajuwa maana ya kurithi na unazijuwa sheria za mirathi au una kurupuka tu?

Bado hujajibu ni nini kosa la Dowans, wacha kubabaika.

puppet
 
from fundi umeme saruji wazo to minister mpaka nchi inaangamia...he will pay for this soon...

Hayo ni yako, tumeona mabilioneya wengi Tanzania na duniani ambao huwaita from rugs to riches, mmoja wao ni Bakhresa, Mengi, Mbowe (baba), na wengine wengi tu.
 
hivi sisiem inaweza kuendelea kupoteza muda wake katika enzi hizi.... naona kuna agent wake humu JF anahaha kweli kweli....... hivi jamani does this preacher of green's worship worth to undermine our efforts for real change... nimechoka
 
Karithi? Unajuwa maana ya kurithi na unazijuwa sheria za mirathi au una kurupuka tu?

Bado hujajibu ni nini kosa la Dowans, wacha kubabaika.
Nani alinunua mitambo ya Richmond?
 
kumbe unaongelea siasa. Zombie!
 
Hayo ni yako, tumeona mabilioneya wengi Tanzania na duniani ambao huwaita from rugs to riches, mmoja wao ni Bakhresa, Mengi, Mbowe (baba), na wengine wengi tu.
habari yako tambwe hiza.........umerudi ccm, umemlala mama yako kama ilivyokuwa ahadi yako ya kumchakachua mama yako kama utarudi CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…