Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
uuh....thax GOD am this size
Huchelewi kuniambia sijui abodimisheni!!!! Sia amesema karaha ya mwanamke?????? Wanaume hata wakiwa wanene hawana karaha.au ......??Me too!
Huchelewi kuniambia sijui abodimisheni!!!! Sia amesema karaha ya mwanamke?????? Wanaume hata wakiwa wanene hawana karaha.au ......??
Kwa ajili yako nimeahirisha........umeniboa kule kwa GS.I thought weekend imeanza............
uuh....thax GOD am this size
Me too!
Kwa ajili yako nimeahirisha........umeniboa kule kwa GS.
Saa hizi ntakuwa namvizia mpaka a log out ndio naanza makeke.me too!!!
heheee afadhali ujilindie chako, ukitoka tu anaanza ku-fool around
Ahaaa!Kweli x-mass imekaribia, wishing you all a merry x-pin.
Hivi binadamu akinenepa kuna baadhi ya viungo vya mwili havinenepi hasa vile vya siri? Haya ndio mambo ya ukubwa wa pua...