Karagwe leo atakufa mtu, wananchi kweli wamezingira halmashauri, wanataka matokeo yatangazwe. Matokeo wananchi wanayo, ccm wanayo, chadema wanayo, na msimamizi wa uchaguzi anayo; yote yanaonyesha Kahangwa wa Chadema kashinda kwa tofauti ya kura 502.
Sababu za kutotangaza hazijulikani.
Natafuta usafiri wa kuelekea huko, nikupata nitapiga hata picha.