Mchongoma,
Hivi kweli unafikiri wakubwa wa dunia walishindwa kumkamata Karadzic? no way..walijua jamaa yupo wapi..sema ilikuwa inaconflict na interests zao. Tena kwa source za uhakika ni kwamba NATO walijua kabisa jamaa yuko wapi..sema hawakupenda kumkamata maana jamaa aliplay role kubwa sana kwenye dayton agreement 1995 na ofcourse sasa waserbi wanataka kuishataki UN/Netherlands kwa kushindwa kumzuia Karadzic kufanya yale mauaji (kumbuka wale wahanga walikuwa kwenye protected camp ya UN ikilindwa na wadachi!). Anyway ni politics, lakini hawa wazungu mtu ukiamini kila wanachokwambia..utajikuta una dataz ambazo hazina ukweli.
Unajua, Iam a firm believer in international justice, lakini tatizo ni jinsi hii justice inavyokuwa "allocated" ukiwa mnyonge basi..ndo maana wale wote wanaojikuta on the wrong side of the fence wamekanyaga vidole vya wakubwa. Akina Bashir, Sadaam, Milosevic nk...ofcourse mtu kama Bashir amefanya makosa mengi..lakini ukiangalia the other side of the coin...mmmhh...