Karadzic...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,839
... huyu jamaa, m serbia ambaye alikuwa 'mafichoni' kwa zaidi ya miaka 11 tangu kuangushwa kwa utawala wa Milosevic amekamatwa.

Mbaya zaidi, miaka yote hiyo alikuwa anaishi Serbia, kama dakitari!!!. Itakumbukwa jamaa ndiye aliyeamuru ile ethnic cleansing kwa Muslim, na walikufa kiasi ya watu 20,000 na kusababisha exodus ya Muslim Kosovans kuja western Europe.

enzi zake na sasa;

View attachment 1830

View attachment 1831

...midevu hiyo inanikumbusha Saddam enzi zake na alipokamatwa!
 
Siku za mwizi ni arobaini..sijui na ya Mkapa itakuja lini? Pemba killings..au hii haina noma?
 
...tatizo wakishampeleka the hague, kwenye international tribunal inachukua miaka nenda rudi kupatikana hukumu, Milosevic alifariki kabla hata kesi haijahukumiwa, Charles Taylor naye ndiyo huyo naye siku zinakwenda

Saddam naye wangempeleka huko, huenda mida hii naye angekuwa bado anapeta... lakini walimnyonga haraka haraka!

Damn westerners na double standards zao!
 
Mchongoma,

Hivi kweli unafikiri wakubwa wa dunia walishindwa kumkamata Karadzic? no way..walijua jamaa yupo wapi..sema ilikuwa inaconflict na interests zao. Tena kwa source za uhakika ni kwamba NATO walijua kabisa jamaa yuko wapi..sema hawakupenda kumkamata maana jamaa aliplay role kubwa sana kwenye dayton agreement 1995 na ofcourse sasa waserbi wanataka kuishataki UN/Netherlands kwa kushindwa kumzuia Karadzic kufanya yale mauaji (kumbuka wale wahanga walikuwa kwenye protected camp ya UN ikilindwa na wadachi!). Anyway ni politics, lakini hawa wazungu mtu ukiamini kila wanachokwambia..utajikuta una dataz ambazo hazina ukweli.

Unajua, Iam a firm believer in international justice, lakini tatizo ni jinsi hii justice inavyokuwa "allocated" ukiwa mnyonge basi..ndo maana wale wote wanaojikuta on the wrong side of the fence wamekanyaga vidole vya wakubwa. Akina Bashir, Sadaam, Milosevic nk...ofcourse mtu kama Bashir amefanya makosa mengi..lakini ukiangalia the other side of the coin...mmmhh...
 
well said masanja, uchambuzi yakinifu huo. Mambo ya kula na vipofu, ukimgusa mkono kosa!...

Osama Bin Laden, Saddam Hussein, Noriega, wote walikuwa bankrolled na USA na CIA, ... na kama unavyosema, jamaa wakikuchoka, au ukijifanya kuchomoa nyaya ndio hayo.

still kuna waliolilakia hilo bomu la kutega, akina Menes Zenawi, ambao kwasasa wanajiona untouchables kwa kukingiwa kifua na America, hawaangalia mifano kama hii na ya kina Ahmad Jalabi wa Iraq.

I bet ndio maana Milosevic alidai Clinton, Blair et al wapelekwe the hague kizimbani kuwa mashahidi wakati wa kesi yake, akaishia kufa kabla ya kesi kumalizika

Saddam naye angepelekwa the Hague, huenda siri zote za Iraq Vs Iran war zingekuwa hadharani!!!
 
Yaani mkuu kwa uelewa wangu sasa niliona kuhusu hii sayari yetu ya dunia..its important to trade carefully.

Akina Zenawi, Kagame, Museven, nk.. inabidi wawe macho..hawa jamaa wakikuchoka wanakutupa. Unakumbuka 1996 Richard Halbrooke alimwambia Mobutu..mzee tumekuchoka..ondoka kwa usalama..well.. mzee unaambiwa alilia machozi....BUT IT WAS THE END OF THE STORY.

What I know though..kwa sasa kiongozi yeyote atakayeumiza watu wake kama huko Darfur nk..inabidi ajue kabisa..one day..hawa "human rights activists" wa ulaya watamshikia bango..And its amazing kuona ni jinsi gani hawa activists wamekuwa na influence kubwa sana kwenye maamuzi ya serikali zao..Kiasi kwamba hata misaada inakuwa conditioned kwa nchi husika kusurrender hao watuhumiwa. And you guessed right. One of the conditions kwa Serbia kufikiriwa kusudi waweze kujoin European Union, ilikuwa ni kum-arrest Karadzic na Mladic....stick and carrot..Karadzic amekuwa arrested..sasa watashift goal post..tunamtaka Mladic..akikamatwa..wataambiwa you have to democratize..and on and on....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom