Kapuya; Nihurumieni jamani

romours zikiendelea sana mnaharibu kila kitu,itaonekana kama anaonewa
 
Reactions: Luv
Nahisi kuna mtu anamframe Kapuya. Siamini kama Kapuya ni "poyoyo" kiasi cha kuendelea kuwasiliana na mshitaki wake kwa kutumia simu ambayo ndiyo uthibitisho mkubwa wa tuhuma zinazomkabili.
 
Hivi kapuya anaweza kutumia neno KUSEPA...... Hebu watu wazima tusaidieni hapo... Ilikiwa unaumri sawa na Kapuya au unakaribiana... Unakabiliwa na tatizo tajwa hapa jamvini... Unaweza kutumia neno kusepa??
 
Hadithi nyingine za kutunga zinachekesha sana. Watu wana utaalamu wa KUTUNGA uongo.
Bro tumia medula oblangata,tangia story hii ianze ingekuwa uzushi lazima Kapuya angeisha tangaza nia ya kulishtaki gazeti for deformation,lakini hajatoa tamko lolote la kushutumu gazeti kwa kutoa habari hizo.
 
Wahi milembe!
 
kaka maisha yamekushinda kwa sasa kapuya yuko hoiii hawezi hata kukuweka kwenye serikali za mitaaa ni bora ukaacha kupiga domo humu ukaenda kwake atakupa kazi nzuri kupika ,kufua,kuosha viombo full house girl siunajua mahouse girl same time wanamiliki nyumba jaribu umaweza ukamiliki gorofa mbezi na masaki
 
Una miaka mingapi?
 
Hivi kapuya anaweza kutumia neno KUSEPA...... Hebu watu wazima tusaidieni hapo... Ilikiwa unaumri sawa na Kapuya au unakaribiana... Unakabiliwa na tatizo tajwa hapa jamvini... Unaweza kutumia neno kusepa??
tumia akili ww tabu lalasa umeona KUSEPA nini neno baya kuliko huyo fisadi fataki kufanya ngono ,Uzinzi wakati anandoa yake mm maamini hata ukijitaidi kumsafisha kiasi gani hasafishiki yuko hoii ben taabani na amekaka kimya nyie wapambe na shida zenu njaa zitawaua
 
My yaani bado atumie simu ile ile ambayo in kithibitisho naomba Mona na bado atumie njia ile ile ya kutuma ujumbe yaani SMS ilhali anajua Kuwa zinahifadhika!!! Zinaacha traces.... Kwa nini asimpigie simu na kuongea nae?
 

Natumaini umeshajitoa JF maana thread bado ipo
 
mtoa mada amewekaa source hvo fuatilia hyo source kujua kama ni kweli yaliyoandikwa ameyatoa huko
 
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:

unachezea kuchanganyikiwa wewe? Yani unakuwa nafuu ya mtoto wa chekechea,na ukijumlisha na ule uhuni wake wa kiackudo, ndio basi tena!
 
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:

Kama amefanya mambo ya kihuni, amecheza muziki kihuni atashindwa kuandika kihuni...!??
 
kama ni kweli hizi msg anatuma kapuya basi huyu mzee na uprofesa wake uwezo wake wa kufikiri umefikia kikomo
 
Hii thread bora ingeenda kwenye jokes.....dyuuuuuu...nimepita huku kwa bahati mbaya lakini...ngoja niende jukwaa la mapishi mie....huuhuuuuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…