Mkuu una mtoto?
Wanataka kusema, "Asiye mzinzi kati yao, awe wa kwanza kumpiga Kapuya jiwe!" Karibu wote wanaohusika na kesi hiyo wana ukimwi. Mwisho wa siku Kapuya atakuwa hana kesi ya kujibu!
Hivi kesi ya kubaka, kuambukiza UKIMWI kwa makusudi na kutishia kuua, dhamana yake inatolewaje kirahisi rahisi hivyo...
kwanini ichuje mkuu, acha siasa bwana tujaribu kupunguza huu ukatili!
Hiyo single ya Kapuya imeshachuja! Chadema ni saccos inaendeshwa kilaghai!
Ccm ni chama cha vibaka!
Ccm ni chama cha vibaka!
Hiyo single ya Kapuya imeshachuja! Chadema ni saccos inaendeshwa kilaghai![/QUO
Chadema imeteka maisha ya watu kama wewe !!! Kila kitu unafikiri ni siasa, ukilala ukiamka unawza chadema !!!! Hebu fikiria kama aliyefanyiwa hayo yaliyochuliwa ni mdogo wako au mwanao, bado ungeandika hivyo ? Na kama angekuwa ni mtu wa kawaida alitenda jambo hilo sasa hivi angekuwa mikononi mwa vyombo vya dola, hata dhamana asingepata, tangu lini kosa la ubakaji likadhaminiwa ? lakini kuwa makini na aina ya jamii manayojenga kwa kuoneana aibu na kulindana kwenu. Hivi Babu Seya yuko wapi vile, na je aliwahi kupewa dhamana wakati wa kesi yake ?
above the law
Hiyo single ya Kapuya imeshachuja! Chadema ni saccos inaendeshwa kilaghai!
Hiyo single ya Kapuya imeshachuja! Chadema ni saccos inaendeshwa kilaghai!
Hiyo single ya Kapuya imeshachuja! Chadema ni saccos inaendeshwa kilaghai!
Hiyo single ya Kapuya imeshachuja! Chadema ni saccos inaendeshwa kilaghai!
Aisee tumewaza sawa kabisa na mimi nilitaka kuuliza swali hilo hilo hv kesi ya kubaka ina dhamana???? Naombwa kujuzwa na wenye uelewa wa sheriaHivi kesi ya kubaka, kuambukiza UKIMWI kwa makusudi na kutishia kuua, dhamana yake inatolewaje kirahisi rahisi hivyo...