M Mahona Senior Member Sep 29, 2011 162 13 Oct 3, 2011 #23 Mi sichangii ngoja nicheke tu; Teh! Teh! Teh! Teh! hah hah hah hah hah! Dah kwa kweli
Caroline Danzi JF-Expert Member Dec 19, 2008 3,713 1,263 Oct 3, 2011 #24 Ooops! hao madada hawana kitu, labda ni hela tu. Uso na mambo mengine ni ZERO. Tuangalieni sisi wa stereet kuwafikia hao ni ngumu lol
Ooops! hao madada hawana kitu, labda ni hela tu. Uso na mambo mengine ni ZERO. Tuangalieni sisi wa stereet kuwafikia hao ni ngumu lol
Gold Addict Senior Member Sep 5, 2011 150 42 Oct 4, 2011 #27 huyo wa pili kushoto si haba...ananikaribia kwa mbali...
C Capitani Member Sep 7, 2011 79 14 Oct 5, 2011 #33 Utu wa mtu utajionyesha kwa vitendo vyake, Ukivaa ngozi ya Kondoo huku we ni chui ipo siku vitendo tu vita kuonyesha wewe ni mtu wa aina gani. Hapo ndivyopicha hiyo inavyo waeleza hao watu.
Utu wa mtu utajionyesha kwa vitendo vyake, Ukivaa ngozi ya Kondoo huku we ni chui ipo siku vitendo tu vita kuonyesha wewe ni mtu wa aina gani. Hapo ndivyopicha hiyo inavyo waeleza hao watu.