Kapresha kakiamua kuja kanakuja tu...

Kapresha kakiamua kuja kanakuja tu...

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,811
Reaction score
10,444
Kimchepuko chako
kinakuandikia meseji
kama hii…
…Samahani baby
kama unavyojua
nimeokoka ,nimetubu
kanisani lakini nabii
kaniambia niwaombe
msamaha wote niliowakosea.
Nimemkosea sana
mkeo kwa kumwibia
mumewe na
nimepanga kuja
kumwomba msamaha
kesho nitakuja na nabii na Mchumba wangu
mpya niliempata
kanisani. Samahani kwa
usumbufu uliojitokeza
lakini hilo ni kwa ajili
ya utukufu wa bwana!!!

Wako Manka wa
Magorofani
 
Ntamwambia karibu ila kiingilio cha kuja kwangu ni laki na atume Kwa m-pesa
 
Shenzi uyo wa kupiga risasi uko uko kabla ajaja kuaribu hali ya hewa.. yani wokovu wake mdio uhatalishe aman ya familia yangu
 
Namwambia ntamwombea msamaha asijali, akikaza namwambia ukija nakuvunja miguu.
 
Unaenda kupiga mishe ye ataomba msamaha huko huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom