Kappa tanzania

Nahitaji hiyo the british common........... size xxxx ni bei gani na nitaipataje hapa bongo dsm.
 
Ni "made" na "malighafi" toka Tanzania (fahari kwa mtanzania) au ni yale yale ya ku import kila k2!
 
wakuu kama mnazifagilia ntawafanyaia mambo hapa mtaani nimeona watu wengi wa hapa wanavaa ndio maana nikazifagilia,zipo hat kwenye mtandao subirini ntawapa links
 
kwa wale wenye jamaa china au maeneo mengine wanaweza kuwasiliana nao, bei inategemeana ila kuanzaia 20,000 mpaka 40,000 za kibongo unapata
 
kwa anayetaka pamba hizi tuwasiliane tutrade
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…