Kapotea anatafutwa

Kaysan salum

New Member
Joined
Apr 10, 2023
Posts
2
Reaction score
4
KAPOTEA ANATAFUTWA

Ndg zang watanzania pichani hapo anaitwa HUSEIN MRISHO ALEX umri ni miaka 13 anachangamoto ya ugonjwa wa kifafa ni mwenyeji wa mwanza, Kapotea maeneo ya Geita-Katoro.

Naombeni msaada wenu kwa atakae muona ili tuweze kumpata.Namb ya simu 0656974260/0769575887.
 
Hata bila kutaja location Kwa kuangalia mazingira ya picha nikajua Kanda ya ziwa hii. Kila lenye heri liwe upande wa mdogo wetu Hussain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…