Kapime macho yako kabla hujafika miaka 60

Kapime macho yako kabla hujafika miaka 60

Sawa mkuu, Je, ina maana wewe utatusaidia humu humu jf kupima haya macho?? Haya mku, miwani utatutummia? Usichukie lakini. Nimejiuliza, haya umeshashindwa kusoma kilichoandikwa. Maana yake ni kuwa Umeshakufa macho. Sasa huyu mtaalam wa jf atakusaidiaje?? Usije niambia nisafiri kuja darisilama kupima
maswali mengi broh!
 
f92bdb1a9d1f6c0946e34f63c51ab328.jpg
I:I:I.
 
BAD EYES
Ila sikuweza kusoma in first attempt. Mpaka nilipo narrow 90%. Then kurudia ndo nikawa naona inakuja na kuondoka
 
Wewe jamaa unafanya watu huku maofisini tunaonekana vituko unajitahidi kufunga macho karibu unalala kabisa unaona lili.........
 
Back
Top Bottom