Kapigwa spana Ulaya na Marekani leo kaja kuwadanganya watu eti lazima tutengeneze chetu

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,821
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka.

Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo?

Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?

Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.

Pia soma > Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi
 
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa hovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka. Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli??? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo? Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?
Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.
Hopeless mama
 
Kwakuwa uwezo wa ndani kupata pesa ya uchaguzi haupo,

Atarudi kuwapigia magoti na kukubali reforms kupata tume huru ya uchaguzi na CDM itashiriki uchaguzi.

Ule msemo wa maskini jeuri ni msemo usio na ukweli, upuuzwe.
Si kweli.Nchi Ina mapesa chekwa na uchumi umekua/unakua kuliko USA na EU refer:Hutba ya nyanya wa taifa.
 
Tulionya mapema sana sasa Mwamtoni mutaisukia kwenye bomba list inakuyaaa.........na Nyundo tani ishirini EU inatwanga!!!
 
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa hovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka. Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli??? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo? Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?
Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.
Kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie kuongoza...niliwaambia watu kuwa kijambio hana akili wakapinga na waislamu ndiyo walipinga kweli kweli wakisema kijambio tunampinga kwa sababu ni muislamu
 
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa hovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka. Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli??? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo? Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?
Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.
Awamu ya tano ilianza hivi hivi......Pesa za Ndani.
 
🕛 Hundred ni tahira indeed
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom