Ewalaa we yalete pm ili humu wasiigilizieUnataka watu waibe mistar yangu love,ila usijal kwako hakuna ntakaloshindwa
Yah anyways am keeping ma uniqueness sitak vitu uniform au sio love sitak maneno yangu akwambie mtu mwingneEwalaa we yalete pm ili humu wasiigilizie
Mapenzi sanaa na ubunifu sio swaga zilezile za aunt, mamdogo, sisterYah anyways am keeping ma uniqueness sitak vitu uniform au sio love sitak maneno yangu akwambie mtu mwingne
Hahahahaha kuna mtu aliwai nambia katika wanaume 20 wanaomtokea 19 wanarudia maneno yaleyale utafkr wanaelekezana et kapeace wangu ilo swala lina ukweli?Mapenzi sanaa na ubunifu sio swaga zilezile za aunt, mamdogo, sister
Tajirimsomi, nahisi ukifanikisha utasema it was on behalf of.....Hahahahaha kuna mtu aliwai nambia katika wanaume 20 wanaomtokea 19 wanarudia maneno yaleyale utafkr wanaelekezana et kapeace wangu ilo swala lina ukweli?
Afu nkimwaga maneno yangu apa yatawanasa na ambao sio walengwa sitaki uanze kununiwa na akina nanilii
Ujumbe umefika au haujafika?
Nipo mkuu, wewe tuUpo? Umeadimika kweli
Wengi swaga ni za aina moja, unajua kabisa kifuatacho hapa ni kuombwa namba baada ya hapo anaanza kumwaga sifa Dada una miguu mizuri ooh macho mazuri najua ninaivyo vzr yan kunisifia tu ivo nikupe tamu ash sahaaaauHahahahaha kuna mtu aliwai nambia katika wanaume 20 wanaomtokea 19 wanarudia maneno yaleyale utafkr wanaelekezana et kapeace wangu ilo swala lina ukweli?
Afu nkimwaga maneno yangu apa yatawanasa na ambao sio walengwa sitaki uanze kununiwa na akina nanilii
Haiwezekan kapeace tumetoka mbali kama umefatilia nilipoanza kupost humu uyu kakurupuka tu hana swaga za kumteka Golden lady kama kapeaceTajirimsomi, nahisi ukifanikisha utasema it was on behalf of.....
Joblee nimeitikia wito, habari ya wewe?Ujumbe umefika au haujafika?
Hahah apo watoto wa mama lazima uwatese sana kama kutongoza kwenyewe ndo uku bora Ile live and direct ya kikuryaWengi swaga ni za aina moja, unajua kabisa kifuatacho hapa ni kuombwa namba baada ya hapo anaanza kumwaga sifa Dada una miguu mizuri ooh macho mazuri najua ninaivyo vzr yan kunisifia tu ivo nikupe tamu ash sahaaaau
Nataka niku...t..ombe wewe dada bora Hii kabisaHahah apo watoto wa mama lazima uwatese sana kama kutongoza kwenyewe ndo uku bora Ile live and direct ya kikurya
Mkuu, nimevuta taswira naona kama umenisaidia kukimbiza kuku[nadharia] aingie bandani.... [ni nadharia]Haiwezekan kapeace tumetoka mbali kama umefatilia nilipoanza kupost humu uyu kakurupuka tu hana swaga za kumteka Golden lady kama kapeace
Haya jobleeNgoja nimalizane na Tajiri msomi nakuja
Hahah ahsante kwa hii heshima ulonipaNgoja nimalizane na Tajiri msomi nakuja
Hata Mimi Sinaga chenga kwa wanawake nisiokuwa na mpango nao nakuomba nyapu na ukininyima sasa wakat nshakwambiaNataka niku...t..ombe wewe dada bora Hii kabisa
Mwenye kisu kikali ndo ataekula nyamaHaiwezekan kapeace tumetoka mbali kama umefatilia nilipoanza kupost humu uyu kakurupuka tu hana swaga za kumteka Golden lady kama kapeace