Kapeace Kapeace kapeace..

Kumbe wewe inawezekana ni mtamu eee...ngoja nikukimbie usije ukanimalizia zile posho zangu mie...nikahamia kwako...mi nlijua wewe ni kawaida kumbe ni mtamu....
Mi ni mchungu sana story tu hizi teh teh
 
[emoji124], nakuja.. Naona wapo na waongo humu...
 
Mtoa mada kashindwa ,kafungulia mbwa.[emoji23][emoji23]
 
Bado mshipa wa aibu haujakatika mkuu,
Hahaha,af we kapeace utakua mjuz wa kwenye makaratas tuu nahis ni dem flan wale unakapiga sound kanangata kucha au kanavunga vunga,..am sure of it..anyway,ngoja wakupige sound,mi ntakuja at my own horizon.[emoji23]
 
Usithubutu kukutwa na bwana Pepsi aibu ni hulka ya kike mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…