Sasa unataka tumsaidie jamaa?ishu kama hizi lazima kuna jamaa zenu wa karibu wanaweza solve usiji expose humu watu wana maugwadu yao watakugegeda
Ongea nae ujue nn tatizo
Ni kabila gani huyo ...maana kuna makabila wao mwanamke akishapata ujauzito yeye hujiweka kando mpaka amwachishe mtoto ndio mwanaume anarudia majukumu yake ya kindoa.
Mwambie mshenga au rafiki yake wa karibu vinginevyo humu ndani kuna watu tofauti wenye interest zao wengine hawajawahi kuonja kitu ya moto ya mjamzito etc...huoni kama unawatega kwa ku expose?Hujanielewa ndugu yangu kikubwa nachoshangaa kanichukia kwa ujumla..... hakuna kingine umenielewa vibaya
Nimeongea nae anadai hakuna tatizo lakin tangu ninaujauzito wa mwezi mmoja mpaka sasa 5 hakuna maelewano kabisa
Nimeongea nae anadai hakuna tatizo lakin tangu ninaujauzito wa mwezi mmoja mpaka sasa 5 hakuna maelewano kabisa
Msukuma
kuwa mvumilivu, kuna wanaume hawajui mwanamke akiwa na ujauzito anabadilika mwonekano na mvuto lakini hii si kwanawake wote.
usijiweke hovyo jitahid uwe msafi na nadhifu kama mwanzoni tafuta muda mzuri kaa naye nunuwa magazine za pregnancy woman aone wanaume wa kizungu wanavyopenda wake
zao wakiwa kwenye hali fanya naye utani
anajisikiaje kuwa baba mtalajiwa then mweleze hisia zako kwake na nini hupendi n.
a aelewe kipindi hiki ndio anapaswa
akuoneshe upendo wa dhati.
vunja ukimya sema naye. ila isijekuwa tu na wewe umejiachia saloon huendi unaishi kwa mazoea tu, hapana jiweke vizuri hata akikuta unaongea na simu aanze kuona wivu.
Mmnh... Sio vya kucheka ila nimejikuta nacheka ulivyosema ukimwambia una genye anakujibu Polee...Lol
Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha to the maximum ndo kwaanza hata mshipa wa faham haumchezi
Na tangu nimepata ujauzito nimekuwa na mhemuko ( ngenye) wa hali ya juu sana nikimwambia mwenzangu anasema pole. Hata sijui kapatwa nanini jmn.

Wewe ni mama pita ....
Natumai huyo mwenye huo ujauzito sio baba pita
Sasa inakuwaje unaruhusu ujauzito mwingine nje ya ndoa?
Tena wa mchumba?
Hii wewe unaionaje?
Kwa uzoefu wangu huyo anakumwaga siku sio nyingi
We jiandae tu!