na wasi wasi labda atakuwa alikosea kuomba kwenye mfumo wa udahili wa usahili, ila pia aende TCU kwa ufafanuzi zaid maana kwa matokeo ya mwaka huu, PCB hawajafanya vzr sana, na sio rahis ukakosa nafasi japo nasikia walitoa vipaumbele kwa wenye ufaulu mzr