balaah wallahi!!!
ba'ata ushungu wallahi
Leo nazindua rasmi opereshen okoa asprin....:thinking:
balaah wallahi!!!
ba'ata ushungu wallahi
St. is in luv wit your signature...
--- FL1
hebu jenga picha....asprin kashika jero anaenda kutuza....basi anacheza kidogo na kuzunguzunguka....then anaibandika jero usoni kwa mzee yusufu....
ha ha ha ha ha!.......Leo nazindua rasmi opereshen okoa asprin....:thinking:
ha ha ha ha ha!.......
OPERESHENI-OKOA-ASPRIN si ndio?kwa hiyo kutakuwa na fund-rising?
hahahahaha!......Hahahahahahaaaaaaaaa! ngoja nikachekee nje.
Afu mbele yangu awepo bonge la mutu, nene na fupi kama Finest....
We Roya ukatibu mwisho wake leo:doh::doh::doh:
sasa shida ndo inaanzia hapa.....Utahitaji kibali toka kwa mjukuu wangu.
BTW leo mbona simuoni hapa?
Utahitaji kibali toka kwa mjukuu wangu.
BTW leo mbona simuoni hapa?
hey, karibu saudia mama...Roooiiiiii....generation Y, Athidi na Pana.oopppssss Athipilini mambo thenu
please subscribeLeo nazindua rasmi opereshen okoa asprin....:thinking:
Hivi hii siredi mnachangia watu wanne tu? Vipi kuna undugunaizesheni hapa?
umeanza... :doh::nono:Hivi hii siredi mnachangia watu wanne tu? Vipi kuna undugunaizesheni hapa?
please subscribe
umeanza... :doh::nono:
Ya, kinda of...na wewe umekuwa mmoja wao...
atakuta barua ya kusimamishwa kazi..mwache aendelee na uhuni wake.lakini mimi namlaumu sana JOSSEEE!....
huyo ndo kaharibu kila kitu.
hofu yangu ni kwamba uliambiwa uwasilisha ''final-accounts''' za chama lakini naona unapiga danadana