Kaona mambo huyawezi, kaja kwangu

St. is in luv wit your signature...


--- FL1

True dat RR, i have fallen truly, deeply, madly in love with FL1 signature

People say there is no difference between COMPLETE & FINISHED....
But there is. When you marry the right one, you are COMPLETE....
And when you marry the wrong one, you are FINISHED.....
And when the right one catches you with the wrong one, you are...COMPLETELY FINISHED


so far I am complete... Just worried coz any day i can be COMPLETELY FINISHED
 
hebu jenga picha....asprin kashika jero anaenda kutuza....basi anacheza kidogo na kuzunguzunguka....then anaibandika jero usoni kwa mzee yusufu....

Hahahahahahaaaaaaaaa! ngoja nikachekee nje.

Afu mbele yangu awepo bonge la mutu, nene na fupi kama Finest....

We Roya ukatibu mwisho wake leo:doh::doh::doh:
 
Hahahahahahaaaaaaaaa! ngoja nikachekee nje.

Afu mbele yangu awepo bonge la mutu, nene na fupi kama Finest....

We Roya ukatibu mwisho wake leo:doh::doh::doh:
hahahahaha!......
ninyi watu mna vituko sana
 
lakini mimi namlaumu sana JOSSEEE!....

huyo ndo kaharibu kila kitu.

hofu yangu ni kwamba uliambiwa uwasilisha ''final-accounts''' za chama lakini naona unapiga danadana
atakuta barua ya kusimamishwa kazi..mwache aendelee na uhuni wake.
 
Back
Top Bottom