julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Una uhakika kama hiyo mimba yako??
Hahaha mimba sio yako hiyo Baba. Tuliza mzima, kamata mwingine na uwowe kabla haujamimbalaizi ili haki isipotee. Kitanda hakizai haramu
Mpenzi wangu kaolewa jamani na jamaa kisa sijui huku ana ujauzito wangu wa miezi sita mwanaume kaambiwa anadai yeye atalea mtoto, Hivi hapa kweli sina haki jamani? naipataje haki jamani? ahadi ya kumuoa nilimpa muda ndio ulikua bado!!!!!!!!
Unajuaje ni yako, inaweza isiwe yenu wote na huyo bwana harusi....
tulieni tu!!!
Mwenye kisu kikali ndiyo anakula nyama, ulikuwa wapi tangu posa inapelekwa, mahari yanatolewa mpaka ndoa inafungwa umeshindwa kutoa pingamizi?? Unakuja kulalama jamaa keshabeba mzigo na wa nyongeza juu??
Hata hivyo kitanda hakizai haramu huyo mtoto si wako tena ni wa mwenye kitanda (aliyeoa) labda kama ulijitambulisha kwao na ukawa unailea hiyo mimba vinginevyo imekula kwako hiyo!!
hivi mkuu una uzoefu wa utunzi wa vitabu vya hadithi?
kwa nini mkuu?
mada zako huwa zinanikumbusha vitu flani nsahakutana navyo kwenye fasihi
ok! but mimi si mtunzi!!!!!!!!!!!
ilikuwaje mpaka akaolewa na mwengine na si na wewe!tena akiwa na mimba yako???
mkuu nina uhakika 100% maana ilipangwa haikuja tu!