kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,119
Nawasalimu kwa jina kuu wakuu wote.. Kiufupi tutembeee kifua mbele mambo yana melemeta Kama Karikiti na Totozii..
Anyway am still chuma chakavu jemedari Mjukuu wa King R. I. P Babu Mugabe.. Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako.
Umefanya mengi uliotakiwa kufanya heshima kwako Babu Mugabe Yooh man pumnzika kwa Amani Babu.
Huu ni wakati mgumu wajukuu na watoto wako visanga vingi Bondeni, Nigeria kiufupi Africa nzima mpaka mbayuwayu wanakataa kutua kwenye miti ya asili aina noma Babu pumnzika mpe hai Original Babu yangu Julius na Madiba mwambie mambo ni mengi muda mchache.
Babu zangu Julius Madiba na Mugabe Mimi mjukuu na Mtoto wenu Kanyeeeela mumo a.k.a Chuma chakavu aka Dereva wa zamani kuna vitu vitatu vina niburuza sana.
Moja ni Siasa za Afrika, mbili Mapenzi na tatu Njaa... Babu zangu tuombeeni Wajukuu na Watoto zenu maana ukikaa Nchareeee ukisimama Nchareee ukichuchuma Nchareee.
Nina Matumaini sana na Baba mkubwa JPM kwani kashika Starling na naona fikra swaaaafi yenye ndoto zenu, Africa yenye nguvu Africa isio ya Mabeberu japo kuna Watu wanao mwangia usiku na mchana naomba mzidi kumwombea Sana.
Ngoja nikamsalimie Pusha wa A town nina mengi ntarudi tena Mimi ndugu Kanyeeeeela nyeeeeeela mumo.