Mkuu mimi ni member wa quora,Why is suicide rate among atheists so high compared to religious people? Are atheists more depressed than religious people?
Answer (1 of 18): 1. When your religion makes suicide a sin or some kind of eternally punishable act, it discourages it in favor of other ways of lashing out, such as abusing others, being a vile bigot, harming yourself, psychologically losing yourself to your religion, or having other unhealthy ...www.quora.com
Uwe unafuatilia mitandao mikubwa sio kuleta ushamba.
Kuna hzi humu utafute huyo jamaa yako anayejifanya ni atheist ,alileta shobo takwimu alipewa ndio maana nikakuambia tafuta mitandaoni .Mkuu mimi ni member wa quora,
Ni msomaji mzuri sana wa midahalo mbali mbali ya mtandao huu.
Kwa tuhuma kuniita mshamba ni mtazamo wako tu, na sio mbaya
Japo wewe ni mshamba wa viwango vya juu!!
Nmekuomba ushahidi kusupport claim zako, umeniletea threads hiyo kutoka quora.
Yan umeniletea uzi tu wenye claims zile zile wala cyo ushahidi nliokuomba.
Katika uzi ulio share hapa, jamaa mmoja anaitwa Collin Wright na wengine wengi wanauliza swali kama langu la kuhoji evidence as i did here
View attachment 2941830
View attachment 2941831
Je unaelewa hata ulichokishare hapa au ulik!mbia tu google chap chap na kuleta hapa!!?
Sasa naamini vipi hata kuwa huo uzi upo kweli na si kwamba unataka kujipigia upatu tu?Kuna hzi humu utafute huyo jamaa yako anayejifanya ni atheist ,alileta shobo takwimu alipewa ndio maana nikakuambia tafuta mitandaoni .
Sasa naamini vipi hata kuwa huo uzi upo kweli na si kwamba unataka kujipigia upatu tu?
Yani kujamba ujambe wewe halafu unipe kazi ya kutafuta aliyejamba!!!
This is hilarious
Nadhani huelewi tunachojadili,In More Religious Countries, Lower Suicide Rates
Comparing World Health Organization suicide statistics with Gallup Poll data show that in countries where most people are highly religious suicide rates are dramatically lower than in countries where most people are not religious.news.gallup.com
Narudia tena "Tafuta uzi " jamaa alileta huyo mkubwa wenu alikaa kimya.😅
Kukosa last hope, husda, kutokutaka public gathering,Wanakosa last hope ,wengi wana husda hata public gathering hawataki .
Atheists ni wabinafsi ndio maana wanakufa ,wanapenda mambo yanyooke kwao tu ,wana stress kinoma
Punguza kelele ,maneno mengi ni kukosa kujiamini.Nadhani huelewi tunachojadili,
Umeleta link unayodhan kwamba inaendana na nlichokuomba katika mjadala huu!!
Link hii inaeleza kiwango cha jinai za kujiua zilivyo kidogo katika nchi za kidini.
Uwepo wa rate ndogo ya kesi za kujiua kwa nchi za kidini, haithibitishi kivyovyote vile kuhusu mantiki yako kuwa atheist ndo hujiua sana.
Elewa wanaposema religious country ni zile zinazoongozwa kidini tu, hata humo atheist wamo!! Lazima uelewe hilo
Na ukirudi kwenzye hoja yako,
Hoja ilianzia hapa
Kukosa last hope, husda, kutokutaka public gathering,
Ubinafsi,
Na ndyo maana wanakufa
Nmekuuliza swali la msingi na hujaweza kulijibu bado,
Je theist hawafi!??
Out of pointPunguza kelele ,maneno mengi ni kukosa kujiamini.
Tatizo akitajwa Mungu mnaleta shobo ,si mkae kimya.
Nyie mnaleta upumbavu wenu 😅😅yaami nyie wajinga munifundishe mimi !?Out of point
Wewe unataka uachwe uongee uongo?
Je ni kosa mtu kutaka kuzuia uongo!!?
Rudi kwenye mada
Theist hawafi?
Ukiletewa uelevu na upumbavu utaweza kutofautisha!?Nyie mnaleta upumbavu wenu 😅😅yaami nyie wajinga munifundishe mimi !?
Kwani uongo , hakuna ulazima wa kuonyesha angalieni tu mlivyo na shobo ,akitajwa Mungu basi kama inawakera.Ukiletewa uelevu na upumbavu utaweza kutofautisha!?
Hoja yako kusema kuwa Atheist ni wabinafsi na ndyo maana wanakufa kisha ukaulizwa theist hawafi na ukashindwa kujibu,
Huo ni uelevu au ni upumbavu!?
Yani waogope kitu ambacho hawaamini kama kipo!?🤔Watu ambao hawaamini uwepo wa mungu ndio huwa wanaongoza kumuogopa mungu.
"indeed to allah we belong and to allah we shall return"🏝
Ulazima upo kwasababu inaonesha hujui upumbavu ni kitu gani!?Kwani uongo , hakuna ulazima wa kuonyesha angalieni tu mlivyo na shobo ,akitajwa Mungu basi kama inawakera.
Unaelewa maana upumbavu?Ulazima upo kwasababu inaonesha hujui upumbavu ni kitu gani!?
How sure are youMungu anajibu kwa wakati wake na sio wako,shetani anajibu kwa wakati wako baada ya kumtimizia atakacho kwa hasara Yako ya baadae,shetani hatoi msaada bure ni lazima afaidike na wewe.
Sasa SI anipe meno kwanza then karanga..Mungu anakupa kile chenye uwezo wa kukitumia
Hawezi akakupa karanga ilihali anajua ni kibogoyo huna meno.