Lemme reserve my commentAlitoa wimbo unaitwa " Jesus Walks" baadae akaanzisha kundi la muziki wa injili na akawa anafanya kitu kama huduma hivi kiasi cha kupelekea mashabiki wake kuanza kumuita " Bishop Kanye"
Leo kaamua kufunguka ukweli wa moyoni. Anasema maombi kwa Mungu hawafanyi kazi ama kwa lugha nyingine ana maanisha " Mungu hajibu maombi ya watu"
Ndio yale yake ya akina Likud.
Anyways kuna ukweli mwingi sana kwenye hoja he Kanye. Asikilizwe.
Wakristu na waislamu ingawa midomoni mean watajifanya kumponda Kanye ( unafiq) lakini kwa matendo yao wanakubalina na hoja ya Kanye kwa Asilimia nyingi sana. Ndio maana wengi wao tunakutana nao kwa wingi sana kwenye vilinge vya waganga. Tena hawa ni wale Walokole HASWA na maustadh/ ustadhat HASWA.
Ndani ya mioyo yao wanajua ukweli kwamba Mungu huwa hajibu wala kushughulika na maombi ya watu...
Neno la Kanye sio sheria kwanza ana tatizo la bipolar hata yeye na watu wote wanajua hilo.Alitoa wimbo unaitwa " Jesus Walks" baadae akaanzisha kundi la muziki wa injili na akawa anafanya kitu kama huduma hivi kiasi cha kupelekea mashabiki wake kuanza kumuita " Bishop Kanye"
Leo kaamua kufunguka ukweli wa moyoni. Anasema maombi kwa Mungu hayafanyi kazi ama kwa lugha nyingine ana maanisha " Mungu hajibu maombi ya watu"
Ndio yale yake ya akina Likud.
Anyways kuna ukweli mwingi sana kwenye hoja ya Kanye. Asikilizwe.
Wakristu na waislamu ingawa midomoni watajifanya kumponda Kanye ( unafiq) lakini kwa matendo yao wanakubalina na hoja ya Kanye kwa Asilimia nyingi sana.
Ndio maana wengi wao tunakutana nao kwa wingi sana kwenye vilinge vya waganga. Tena hawa ni wale Walokole HASWA na maustadh/ ustadhat HASWA.
Ndani ya mioyo yao wanajua ukweli kwamba Mungu huwa hajibu wala kushughulika kabisa na maombi ya watu...
I agree with uKwa kiasi Fulani Maneno ya Kanye west yana ukweli. Kwa ninavyoelewa Mimi ni hivi SISI BINADAMU TUNA UUNGU NDANI YAANI TUNA UWEZO WA KUKAMILISHA MAMBO AMBAYO MUNGU ALIYAUMBA. MUNGU HAKUUMBA SIMU ILA ALIUMBA MADINI NA SISI BINADAMU TULIFIKIRIA MADINI YATATENGENEZA NINI? SIO MADINI TU MUNGU ALIUMBA MITI HAKUUMBA MAKOCHI, VITANDA, MAKABATI NI BINADAMU KUPITIA HIYO MITI NDIO TUNAPATA SAMANI.
Kitu kingine Mungu hajibu maombi ya binadamu kwa sababu unakuta Mtu anaumwa ataombewa lakini haponi lakini akienda Hospital anatibiwa na anapona.
SISI BINADAMU TUNA UUNGU NDANI YETU.
So neno la mtu kama huyo haliwezi kuwa sheriaNa hilo tatizo la bipolar alipewa na Mungu hata watu wote wanajua
Kimsingi Dunia ni mapambano tu. Hebu waza umekutana na Simba porini utamuomba Mungu akuokoe au utatafuta namna ya Kupambana nae ? Mungu angekuwa anajibu maombi hii Dunia ingekuwa na Wajinga wengi sana na kusingekuwa na ubunifu wa aina yoyoteYesu mwenyewe alimuomba Mungu amuepushe na kikombe , Mungu nakujibu seuze wewe rafiki yangu hebu wacha habari zako hizo mkuu
Kanye ni mwanamziki mzuri lakini kiupande mwingine wa pili wa mambo ya dini uku inabidi awache watu wabaki na IIMAN zao unajua mambo ya imani bhana na Ndoo manaa hata kiuchumi kaporomoka mulikuwa na kundi kubwa sana. La watu walikuwa wakimfutialia lakini alipo anza mambo ya dini ,kuziaki imani za watu na wakatii matendo yake haya fanani na IMANI hiyo lakini MUNGU ndo anajua zaidi sisi Ni binadamu na mimi wala sija judge kama mimi ndo mwema sana Hapana anayejua Ni MUNGU #kanye ..MUNGU yupo all the creators are created by LORD.Alitoa wimbo unaitwa " Jesus Walks" baadae akaanzisha kundi la muziki wa injili na akawa anafanya kitu kama huduma hivi kiasi cha kupelekea mashabiki wake kuanza kumuita " Bishop Kanye"
Leo kaamua kufunguka ukweli wa moyoni. Anasema maombi kwa Mungu hayafanyi kazi ama kwa lugha nyingine ana maanisha " Mungu hajibu maombi ya watu"
Ndio yale yake ya akina Likud.
Anyways kuna ukweli mwingi sana kwenye hoja ya Kanye. Asikilizwe.
Wakristu na waislamu ingawa midomoni watajifanya kumponda Kanye ( unafiq) lakini kwa matendo yao wanakubalina na hoja ya Kanye kwa Asilimia nyingi sana.
Ndio maana wengi wao tunakutana nao kwa wingi sana kwenye vilinge vya waganga. Tena hawa ni wale Walokole HASWA na maustadh/ ustadhat HASWA.
Ndani ya mioyo yao wanajua ukweli kwamba Mungu huwa hajibu wala kushughulika kabisa na maombi ya watu...
NakaziaKimsingi Dunia ni mapambano tu. Hebu waza umekutana na Simba porini utamuomba Mungu akuokoe au utatafuta namna ya Kupambana nae ? Mungu angekuwa anajibu maombi hii Dunia ingekuwa na Wajinga wengi sana na kusingekuwa na ubunifu wa aina yoyote
Ni bipolar muda mwingine yuko sawa mwingine hayuko sawa. Hivyo siwezi kusema alipatia au alikosea haeleweki huyo ndio maana neno lake si la kuchukulia seriousKwa hiyo hata alivyo Jesus Walks alikosea?