Kanye West Anataka Kubadilisha Jina Ili Aitwe YE

Kuna kipindi alikuja na dini yake na mradi wa biblia yake ambayo anacopy biblia halisi ilivyo halafu kwenye neno "Mungu" kote kwenye biblia anapachika jina lake.
 
Hata ukifatilia magenius wengi duniani kina Einstein,Newton Wana dalili hizo hizo.
Kama ulishasoma Na genius shuleni utagundua kwenye Maisha nje ya vitabu alikuwa kama mjinga fulani
All in all Kanye ni genius kwenye music industry
 
All in all Kanye ni genius kwenye music industry
Airtime tu anapewa.. wapo wakali ipi nyimbo ya kanye inayotuaminisha hivyo..? Maana nyimbo zake za kawaida tu sema vituko vyake ndivyo.vinampa ukubwa na kivuli cha Jay Z kwenye mziki kina muinua
 
Airtime tu anapewa.. wapo wakali ipi nyimbo ya kanye inayotuaminisha hivyo..? Maana nyimbo zake za kawaida tu sema vituko vyake ndivyo.vinampa ukubwa na kivuli cha Jay Z kwenye mziki kina muinua
Kanye West ni genius, nikisema nimesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…