Kanye bana kwa show-off

​Na huyu demu wake wanafanana, wote mabishoo.
 
Kanye si ndiyo huyu anayemnyea Kardashian au siyo?
 
Katika watu walionishinda kwa kung'oa wanawake wa kali, na Kanye yumo. Mpaka namchukia.
 
Huyu Kanye wa Mangaribi Pale kifuani Kwakwe mbona kama naye ana manyonyo?!
 
Kanye anakiburi sana...kuna mtv music awards ya kipindi cha nyuma beyonce alimuaibisha vizuri sana pale stejini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…