Kanyaboya la Simu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
unaoneshwa simu kama hii........hili ni dude
 
wakati anakuambia ngoja nitoe memory card njo anaweka mikono nyuma na kukubadilishia
 
ukiona mchanga ujue umeliwa.................uzito utakudanganya tu..........
 
Mjini shule
Shamba kilimo.

Ukija na jembe utalima Lami!!!!!
 
Sasa vipi ununue simu bila kucheck kama inafanya kazi? na hiyo simu usikubali irudishwe kwenye box
 
Sasa vipi ununue simu bila kucheck kama inafanya kazi? na hiyo simu usikubali irudishwe kwenye box
Madamex, simu ya kwanza unaoneshwa kali inafanya kazi kila kitu tatizo ni pale anapokwambia toa hela au ngoja notoe memory card anazungusha mikono nyuma )au anajifanya kuweka kwenye box) na kukupa kanyaboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…