Ofisi gani alipo? POLE ZAKE
iyoAllah arndelee kumpa maisha marefu.
Amerudi kwenye ofisi yake alipokuwa anafanya Kabla ya uteuzi
Mmh!!! Ukisha tabiriwa kifo ni mbaya sana, unaweza usichukue raundi....
Wanasiasa kwa kupenda kiki na uongo...Salam wakuu.
Naomba nitumie huu uzi kukanusha taarifa zilizosambaa kuhusu kifo aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, Mwanza na Mara ndugu Magesa Mulongo.
Ndugu yetu Magesa ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa na hata sasa ninapoandika huu uzi yupo ofisini kwake anaendelea na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha anai support vyema kazi ya rais John Pombe Magufuli na hatimaye Tanzania kupata matokeo stahiki.
Nitoe rai kwa wakuu humu kujitahidi kujiridhisha kabla ya kuzungumza suala ambalo hawana uhakika ama uhakika ni mdogo kwalo.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mswalie Mtume!Mulongo alikua mjeuri sana alimtesa Lema Arusha angefariki ingekua poa
Aisee mola wake amfanyie wepesi. Kumbe haikuwa kweli.Salam wakuu.
Naomba nitumie huu uzi kukanusha taarifa zilizosambaa kuhusu kifo aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, Mwanza na Mara ndugu Magesa Mulongo.
Ndugu yetu Magesa ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa na hata sasa ninapoandika huu uzi yupo ofisini kwake anaendelea na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha anai support vyema kazi ya rais John Pombe Magufuli na hatimaye Tanzania kupata matokeo stahiki.
Nitoe rai kwa wakuu humu kujitahidi kujiridhisha kabla ya kuzungumza suala ambalo hawana uhakika ama uhakika ni mdogo kwalo.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa bahati mbaya sio watendaji wote wa serikali unafahamu ofisi zao/ ama ofisi zao zinafahamika.Ofisi gani alipo? POLE ZAKE
Mheshimiwa Magufuli angekua amemsahau kama unavyodai, muda huu ndugu Magesa asingekua 'ofisini'Wanasiasa kwa kupenda kiki na uongo...
Huenda yeye ndo alijitabiria kifo ili awe kwenye headlines,Magu amkumbuke,(maana keshasaulika),ili walau ampeleke Cuba ubalozini...
Never trust a politician.
Taja japo mkoa alipo!Mkuu kwa bahati mbaya sio watendaji wote wa serikali unafahamu ofisi zao/ ama ofisi zao zinafahamika.
Kwa sasa itoshe tu kujua kwamba yu mzima na anaendelea na majukumu ya kuijenga nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Tanzania haina wabunifu wanaojifanyia shughuli zao halali? Au ubunifu hauruhisiwi huko Tanzania?yupo ofisini kwake anaendelea na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha anai support vyema kazi ya rais John Pombe Magufuli na hatimaye Tanzania kupata matokeo stahiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa bahati mbaya sio watendaji wote wa serikali unafahamu ofisi zao/ ama ofisi zao zinafahamika.
Kwa sasa itoshe tu kujua kwamba yu mzima na anaendelea na majukumu ya kuijenga nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mna ubia mbona unamtetea sanaMkuu kwa bahati mbaya sio watendaji wote wa serikali unafahamu ofisi zao/ ama ofisi zao zinafahamika.
Kwa sasa itoshe tu kujua kwamba yu mzima na anaendelea na majukumu ya kuijenga nchi
Sent using Jamii Forums mobile app