IlangiKwetu Member Joined Oct 9, 2014 Posts 85 Reaction score 33 Jan 27, 2017 #1 Heshima mbele wadau, Tafadhali mwenye kujua kanuni za PSPF kupata, Malipo ya mkupuo. Malipo ya mwezimwezi Mfano mtumishi mshahara wake wa mwisho ni Tsh 850,000 na katumikia taifa kwa miezi 360 (Miaka 30). Anapata mahela mangapi kwa kutumia hizo kanuni. Aksante.
Heshima mbele wadau, Tafadhali mwenye kujua kanuni za PSPF kupata, Malipo ya mkupuo. Malipo ya mwezimwezi Mfano mtumishi mshahara wake wa mwisho ni Tsh 850,000 na katumikia taifa kwa miezi 360 (Miaka 30). Anapata mahela mangapi kwa kutumia hizo kanuni. Aksante.
mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,161 Reaction score 802 Jan 27, 2017 #2 Naomba Kujua FAO la kujifungua/ kuzaa kwa Mwanachama WA kike