D doppla2 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 1,393 Reaction score 1,462 Dec 7, 2017 #1 Apandacho mtu ndo avunacho Ukipanda karanga utavuna karanga Ukipanda uchafu utavuna magonjwa Ukipanda juhudi utavuna mafanikio Kwa upande wangu kanuni hii ndo huwa naiona inauhalisia kwenye maisha.... Wewe je kanuni gani unaikubali Karibuni wadau.
Apandacho mtu ndo avunacho Ukipanda karanga utavuna karanga Ukipanda uchafu utavuna magonjwa Ukipanda juhudi utavuna mafanikio Kwa upande wangu kanuni hii ndo huwa naiona inauhalisia kwenye maisha.... Wewe je kanuni gani unaikubali Karibuni wadau.
Thesis JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 1,805 Reaction score 3,120 Dec 7, 2017 #2 Ukitenda wema unajitendea mwenyewe na ukifanya ubaya unajifanyia mwenyewe. Tofauti ya kutenda na kujitendea ni muda tu.
Ukitenda wema unajitendea mwenyewe na ukifanya ubaya unajifanyia mwenyewe. Tofauti ya kutenda na kujitendea ni muda tu.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,654 Dec 7, 2017 #3 na ukipanda karanga na mvua zisinyeshe je?
Siafu na Manga JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 2,894 Reaction score 8,975 Dec 7, 2017 #4 Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. watu wengi sana wanapenda kutenda mambo fulani fulani ila yale yale watendayo wakifanyiwa wao huwauma saaana. hii ina ukweli kabisa
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. watu wengi sana wanapenda kutenda mambo fulani fulani ila yale yale watendayo wakifanyiwa wao huwauma saaana. hii ina ukweli kabisa
kisikiji JF-Expert Member Joined Feb 2, 2015 Posts 2,530 Reaction score 2,495 Dec 7, 2017 #5 Kwenye nafasi akija unitag.
kisikiji JF-Expert Member Joined Feb 2, 2015 Posts 2,530 Reaction score 2,495 Dec 7, 2017 #6 The Boss said: na ukipanda karanga na mvua zisinyeshe je? Click to expand... Zisiponyesha siunashuka?… Au nilazima uendelee kuwa humor??.
The Boss said: na ukipanda karanga na mvua zisinyeshe je? Click to expand... Zisiponyesha siunashuka?… Au nilazima uendelee kuwa humor??.
D doppla2 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 1,393 Reaction score 1,462 Dec 7, 2017 Thread starter #7 The Boss said: na ukipanda karanga na mvua zisinyeshe je? Click to expand... Unamwagilia maji...
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,144 Dec 7, 2017 #8 Msako wa nyani ,ngedere haponi