NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 396
- 280
WANAWAKE WOTE NI WAZURI HATA YULE UNAE MUONA MBAYA MCHUKUE AFU MPE HUDUMA ZA KUTOSHA
mavazi sana ,mapambo meng, pafyum, saloon nk atakuwa mrembo tu
Ukishakuwa na hela tu utawapata tatizo kujua nani mkweli
Root Jitahid Kumkwepa Anaekujua Unamaisha Mazuri ! Mbona Kipind Una Struggel Alikuwa Anakukwepa!
Nb: Hawa Wanapenda Sana Hela Ukiwa Na Hela Mpenda Hela Mkwepe
Sio vizuri mjue nyie wanaume kusema hivyo...........mnatukwaza........
Ngoja Nkuambie Kitu Kijana Mwenzangu Wa Kiume!! Unaetaka Kuoa! Epuka Kumuoa Binti Anaekujua Vizur Kuwa Unamaisha Mazur! Hata Maisha Magumu Yote Mipango Mungu!!
Kama Unajiona Unamaisha Mazuri Tafta Bint Ambae HAta Kama Humjui Vizuri Peleleza Tu Ukiona Mambo Safi Muoe
EPUKA Kuoa Mwanamke Anayekujua Maisha Yako Mazur Ila Unaweza Kuoa Bint Anaekujua Maisha Yako Ni Magumu Au Wastani!!!
NB; wanawake wanapenda hela! ukiwa na hela utamuoa ila lazima upendo wake uende kwa anaependwa sio wewe
LA MSINGI
punguza kiki ndugu yangu hata kama unamaisha mazuri acha kutongoza kwa kiki jifanye huna utapata jiko la maana tu
WANAWAKE WOTE NI WAZURI HATA YULE UNAE MUONA MBAYA MCHUKUE AFU MPE HUDUMA ZA KUTOSHA
mavazi sana ,mapambo meng, pafyum, saloon nk atakuwa mrembo tu ukitaka chukua kichwan usipotaka acha yakiwa magumu bint unampa kila kitu lakin anachepuka usilete taarifa
Sio vizuri mjue nyie wanaume kusema hivyo...........mnatukwaza........
kusema nini??
Kwamba mpaka leo unataka kuniaminisha hujui tofauti ya mwanaume na mvulana?
I know shida nakuwa porini sana no network natumia satelite phone Thuraya kwa mawasiliano muhimu tu, huwezi kuamini Tanzania hii hii kuna sehemu hakuna hata mtandao mmoja unaokamata, nimerudi mjini kuwachinja ccm na kuwafurumusha madarakani tuanze upya, hawa mashetani wakafe mbele.Nimekumiss kule. You know
I know shida nakuwa porini sana no network natumia satelite phone Thuraya kwa mawasiliano muhimu tu, huwezi kuamini Tanzania hii hii kuna sehemu hakuna hata mtandao mmoja unaokamata, nimerudi mjini kuwachinja ccm na kuwafurumusha madarakani tuanze upya, hawa mashetani wakafe mbele.
check me in my namba natumia laptop.