Kanuni 30 kwa wanawake ndani ya ndoa

Kanuni 30 kwa wanawake ndani ya ndoa

Naomba Mungu atuongoze nakufanikisha malengo yetu
Atukinge na vijiba vya roho za wasiopenda kukuona pamoja tukitabasabu
Atume macho ya rohoni mana haya ya mwilini ni dhaifu sana
Akavunje kila nira ya Ibilisi mwovu shetani na wafuasi wake ilioelekezwa katika penzi letu ikapate kuaibika kwakua mamlaka yote ya juu yake mungu baba.


Smart911
Amein
 
Tuletee kanuni 40 za wanaume ktk ndoa ili tuzipitie hapa kwa pamoja.
 
wanawake wa siku hizi wanatukatisha tamaa ya kuwaoa, sasa imagine unamuoa mange au naniliu, humalizi miezi mitatu tunakuzika kwa maradhi ya moyo
Kwa wanaume wapenda ubuyu ukioa Mange ndio safi ubuyu unaulia kitandani kabla haujaenda kwenye media.
 
wanawake wa siku hizi wanatukatisha tamaa ya kuwaoa, sasa imagine unamuoa mange au naniliu, humalizi miezi mitatu tunakuzika kwa maradhi ya moyo
Kama ambavyo mnawakatisha tamaa ya kuolewa, na hata wakiolewa wanavumilia tu kuishi nanyi.
 
Kama hujaolewa, nyamaza kimya wakubwa wakiongea ikiwezeka log off. niamini mimi hayo yote yaloandikwa ni rahisi sana kuyasoma na kuyaelewa ukiwa bado hujaolewa, hata unaweza kuyaota usiku, lakini ndani ya ndoa ni impossible, patakuja hapa wanawake wakijisifu kuwa wao wanayamudu yote lakini nakwambia kumi tu katika hayo ni mzigo.
Acha kumtisha huyo binti hayo mbona mepesi sana kwa mabinti waliolelewa kwenye familia zenye maadili mazuri na kufundwa na wazazi wake kabla hawajaenda kwa mume.
 
Paprika,kama unaweza yote hayo,sema kesho nilete barua(jokes)
 
woman is a slave..........go down to your feet to please a man..
 
Ndio mylove nimefika salama kabisa ila dah kilichotokea leo mhm hatariiiiiiiiiiiiii pozi zote kwishaaaa maneno maneno yoteeeee wapiiiii mengine

Wacha nifunge domo langu
Hahaha... Pole love... Umetaka mwenyewe lakini... Ulinishtua mapema nikakuambia sawa haina neno lets have fun... Pole mtoto mzuri...

[emoji8] [emoji182] [emoji173] [emoji7]
 
Acha kumtisha huyo binti hayo mbona mepesi sana kwa mabinti waliolelewa kwenye familia zenye maadili mazuri na kufundwa na wazazi wake kabla hawajaenda kwa mume.
Inawezekana una umri mkubwa sana unaongelea mambo ya zamani. Najua kuwa kuna wachache sana wanayaweza hayo lakini sio 100%.
 
Back
Top Bottom