miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
acha niishi bwana haya mambo bwana
AbeeMamiii
halafu mwanamke aw mtumwa ndani ya ndoa pyee mtaisoma miaka hiiNa hizo ndizo sifa za mke mwema..... Mwanaume lazima U-enjoy maisha ndani ya ndoa ukimbahatisha mwenye kufuata kanuni hizo...
acha utani wewe. wanawake wa miaka hii, dot com girls? never, neverMbona ni vitu vya kawaida sana!!! Sijaona gumu hapo!
Una akili sana, ni vyema u play pati yako vyema hii itakupa amani ya moyoniMwanume ata umbebe na mbeleko... Mwenye tamaa za ovyo atachepuka tu!!! Wapo kama watoto wadogo.
Cheza nafasi yako vizuri ili ata akichepuka ujue kua kosa halikua lako...
Si awe mtumwa ana kuwa ame-play part yake ipasavyo kadhalika na mwanaume atimize yale yampasayo....Tatizo wanawake wa siku hizi mnataka tufanane kwa kila kitu jambo ambalo halitowezekani kabisa...halafu mwanamke aw mtumwa ndani ya ndoa pyee mtaisoma miaka hii
Kwangu sijaona jipya!!!acha utani wewe. wanawake wa miaka hii, dot com girls? never, never
KabisaUna akili sana, ni vyema u play pati yako vyema hii itakupa amani ya moyoni
Umeolewa? una muda gani ndoani? unafanya kazi au ni mama wa nyumbani? unakaa mjini au kijijini? mnakaa kwenye nyumba yenu au ya kupanga?Kwangu sijaona jipya!!!
kama kila mmoja ataplay vizuri party yake hapo sawaSi awe mtumwa ana kuwa ame-play part yake ipasavyo kadhalika na mwanaume atimize yale yampasayo....Tatizo wanawake wa siku hizi mnataka tufanane kwa kila kitu jambo ambalo halitowezekani kabisa...
Pale unapotaka mwanamke wa enzi za bibi yako wakati wewe sio babu yako.halafu mwanamke aw mtumwa ndani ya ndoa pyee mtaisoma miaka hii
baya moja hufuta mazuri milioni moja.... huwezi kukuta thread ya kumsifia mkewe humu ohoo akosee mara moja dadeki utaandikiwa kitabuPale unapotaka mwanamke wa enzi za bibi yako wakati wewesio babu yako.
Alafu mbona hayo mengi tu wanatekelezewa, au hao wake zao wao ni kuwahesabia mabaya tuuu.
Utaambiwa unataka mashindano hata kama upande mwingine ni butu we tumika tu. Au umesahau kuolewa ni hisani now days?kama kila mmoja ataplay vizuri party yake hapo sawa
Hawa viumbe wabinafsi sana jamani, hawaoni mema ya wake zao,wao ni kuhesabu mabaya tuuu. Afterall si wanaoa roborts.baya moja hufuta mazuri milioni moja.... huwezi kukuta thread ya kumsifia mkewe humu ohoo akosee mara moja dadeki utaandikiwa kitabu
hawajielwi ni kuwasikiliza na kuwapuuzaHawa viumbe wabinafsi sana jamani, hawaoni mema ya wake zao,wao ni kuhesabu mabaya tuuu. Afterall si wanaoa roborts.