Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

Kwa hiyo Trump hakukosea aliposema kwamba Waafrika tunaweza ngono tu, uvivu, maneno mengi na kuzaana? Shikamoo Trump!
 
Nawasalimu wana JamiiForums wote, habari zenu. Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 20, ninahisi uume wangu ni mdogo na mfupi tofauti na vijana wengine niliowaona pia masterbation nimepiga sana lakini sijui kama nayo ina changia.

Naombeni msaada wenu niongeze unene na ukubwa wa uume wangu.
 
Kwani ukisimama ni inch ngapi Mkuu tukuambie/kushauri tuanzie hapo pia si mbaya utuangushie na katipicha kidogo
 
In reality kuna waliofanikiwa kuongeza. Kuna makabila hiongeza kienyeji kwa kutumia tiba ya asili. Wasukuma, Wamasai na Wakurya. Nenda vijijini kwao kabisa ongea na wale wazee wa mila utapata msaada.

Unaweza nenda Manyara ukadadisi wapi kuna mila za kimasai zilizo imara, nenda huko onana na vijana wakupeleke kwa wazee maana wana taratibu zao. Achana na hawa wa mjini ujanja mwingi.
 
mnataka kuongeza yawe makubwa kwani nani kakwambia kuwa wanataka hiyo mibomba.cha muhimu jua jinsi ya kutumia siraha yako
 
mornie brother.

pole sana kwa hali hiyo, but changamoto uliyo nayo ni hii.

1. uume umepungua size kwa sababu ya punyeto, hapa urefu na wembamba wa uume lazima uuhusike kama kweli ulikuwa hodari katika punyeto.

2. nguvu za kiume zimepungua kutokana na kuharibu misuli ya uume, hivyo uume huenda ukawa unasimama legelege.

USHAURI.
Anza tiba ya kurejesha uume katika hali ya awali yaan size na nguvu kwa kutumia tiba asilia.

kisha waweza ongeza size ya uume lakini lazima uanze na hilo la juu kwanza huo ndio utaratibu wa tiba asilia wala asikuongopee mtu mwingine.

 
Nashukuru mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…